gTurn
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 2,651
- 4,151
Hizo nyingine ni mamlaka za dunian hivyo hapo yeye ananizidi kapewa mamlaka ya kiinchi. Lakini sio kwamba Mimi anachokifanya sikiwezi Bali protakali tu ila Mimi nilitaka nikueleweshe tu heshima na wadhifa aliotupendelea Mungu duniani na mbinguni ambao shetani anapambana kuuvunja kwa kuchomeka vitu ambavyo viko nje ya utaratibu mpaka tuvione vinafaa huku kumbe tumakosea