Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

images (48).jpeg
 
Hua spending kuandika monies yanayolenga uchochezi wa kidini, ila pepo ya Walsham imekuwa more TANGIBLE dini yoyote ukimuuliza atakwambia wanapewa mabikra nk nk, vitu vingi vimesemwa ila sijawahi kusikia dini nyingine inanimate details zozote kuhusu wao wanaamini nini baada ya kufa wanaenda wapi.

Kama wewe mkristo naomba nielimkshe mumeahidiwa nini huko
Ivi unasoma vizuri namna unavyoandika?
 
Wewe ndiye Mungu hata ummpangie?.

Simpangii Mungu ila hata wewe unaona kabisa it doesn’t make sense. Ni vile tu dini imekutia hofu kuhoji. Peponi (ambapo tunaamini ni mahali patakatifu) tunaenda na nyege?? Yani muwe mnatiana huko mnamwaga manii zenu?!! Hiyo pepo au danguro la uzinzi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi story zimetungwa na wanaume....elewa Hilo kwanza...dini yenu nzima is based on kukandamiza wanawake unategemea mtume wa kike atoke wapi
Kwenye dini yako amabayo sio ya kukandamiza nitajie Mtume wa kike
 
Unasemaje? Peponi ni mume na mke wake na michepuko 72.
Sio michepuko Jambo lakwanza ukikabidhiwa hekalu lako Mungu anakuozesha hao mabikra pamoja na wake zako unakua nao pia tenda wema shekh
 
Simpangii Mungu ila hata wewe unaona kabisa it doesn’t make sense. Ni vile tu dini imekutia hofu kuhoji. Peponi (ambapo tunaamini ni mahali patakatifu) tunaenda na nyege?? Yani muwe mnatiana huko mnamwaga manii zenu?!! Hiyo pepo au danguro la uzinzi?
Peponi ni makazi yameandaliwa nyie nendeni pepo yenu ya kuimba na kusifu sisi mtuache Nani anataka kuteseka duniani na peponi tumieni akili
 
Ukichunguza hii dini kwao mwanamke hana thamani zaidi ya chombo cha starehe,rubbish kabsa hawa wafuasi wa mudy wanawaza ngono ngono tu na kumwaga damu.
Umeongea kimhemko sana pole.
 
Usije ukaanza kubaka vibinti vyetu mabarabarani kusaka bikra - maana bikra 3 tu wewe ni peponi moja kwa moja 😛 😛
 
Mapenzi ni starehe ya duniani. Mbinguni kuna mfumo tofauti kabisa na wa kidunia. Hamuwezi geuza pepo kuwa danguro. Mwanaume mmoja wanawake 72?! Huo ni umalaya na ni kumdhalilisha mwanamke.
Kwanini tunakosa akili basic kabla ya kuingia ndani zaidi ya mambo ya kidini...mimi ndhani tuanze kujifunza MSINGI WA MAMBO kwanza hii itafanya mjadara au kuelewa kwa urahisi inaonesha watu wengi kama wewe hamuna BASIC ya mambo na wengi hata ukiamua kuwa in positive way kumfunza anaendela kenehi ndio maana nimeamua nisichangie tu hii mada.

Anyway nakuelekeza MSINGI, umeandika neno DANGURO, UCHAFU na UMALAYA pale juu, kimsingi haupo sahihi umefanya matumizi haya ya maneno mahala si sahihi ungekuwa na msingi kwanza usingeweka meneno haya passport satahiri.

DANGURO: ni sehemu watu wanafanya mapenzi kwa kujiuza, je hawa wanawake 70 ulioqambiwa wanajiuza.

UCHAFU na UMALAYA: Kufanya mapenzi kinyune na maagizo ya Mungu, sasa ikiwa Mungu mwenyewe ndio aliyekukabidhi nankukupa ragusa hao wanawake 70 kwanini United umalaya na uchafu...YOU NEED TO BE PROFFESOR TO THINK IT.

Nadhani unajua definition ya haya maneno ila haupo tayari kujifunza kwenye mambo ya kidini na unatwaliwa na Hisia na uchochezi wa kidini.

Kwani si ni Mungu aliyeongoza kuoana ndio tufanye mapenzi je umewahi kusema mke na mume wanafanya uchafu na umalaya NOOOH, kwasababu unajua karuhusu Mungu sasa iweje ukisikia eti peponi Mungu kaandaa kitu ABC unageuka na kusema Umalaya si huyuhuyu Mungu aliyeweka hivi vitu nakuse UCHAFU ni ABC SAHIHI ni ABC...INACHOSHA AISE TUJIFUNZE NA TUWE HUMBLE KUJIFUNZA.

MAANA YA KITU KIBAYA NA KWANINI
Inabidi uanze kwa kujielimisha nini maana ya kitu kibaya na kwanini kuna kitu kibaya, Mungu kaumba vitu vibaya mf Zinaa, Uchafu nk hili kukupa mtihani wa kufudhu hapa Duniani kimsingi vitu vibaya si vibaya ila vibaya kwa AMRI niishie hapa naona uzi umejaa kebehi na watu hawako tayari kujifunza bali chuki za kidini na udini mkali.

Rai yangu watu tujifunze, huezi kujua FATE SAHIHI ni ipi kuoitia kujifunza na Mungu wa kweli atakuongoza kwenye njia sasahihi kushambuliana sio sahihi.
 
So we kwa akili zako timamu bikra alizaa ..ehe na James kaka yake yesu amezaliwaje
Basi utuambie wewe baba yake Yesu ni nani, na utuambie kwanini waislam wanamuita Issa bin Mariam na siyo Issa bin (Baba yake), Yesu ndio first born wadogo zake wote wana baba
 
ivi Hawa watu wanapataga HALLUCINATIONS au wanaongea kwa mujibu wa maandaiko yao
 
[emoji23]Dini ni utapeli ..mi nikishaona mtu ananiambia "Mungu yupo kila mahali ila amenichagua Mimi kukuambia hivi na anataka hivi" mi naona Hana tofauti na chuma ulete wale
Sasa kama dini ni utapeli mbona unaamini habari za mabikira 70, au mnachagua kuamini vile mnavyoona vina maslahi kwenu tofauti na hapo mnasema ni uongo, kuamini habari za mabikira 70 peponi huna tofauti na wanaoamini bikira alizaa
 
Wewe unaamini umetokea wapi, umetokeatokea vipi??

Nini dhumuni la kuishi wewe??
Hivyo vitabu vya dini vina contradictions kemkem, nikikuwekea huwezi kuzipangua hapa.

Bisha halafu taja kitabu chako nikuwekewapi,
 
Wewe unaamini umetokea wapi, umetokeatokea vipi??

Nini dhumuni la kuishi wewe??

Hujataja kitabu. Huvikubali? Unavionea aibu?

Kwa nini ninachoamini kiwe muhimu, ikiwa imani ni haki ya kikatiba, ni haki ya kiutu, naruhusiwa kuamini chochote, cha kweli, cha uongo?

Mimi nimetokea kwa wazazi wangu.

Nimezaliwa.

Unaposema "dhumuni la kuishi wewe" unamaanisha nini?

Hakuna dhumuni la mimi kuishi, mimi ndiye nayapa maisha yangu dhumuni lolote ninalolitaka mimi.

Kama.maswali yako haya ni muhimu sana.

Na mimi nakurudishia hayo hayo kwa Mungu wako.

Mungu wako katokea wapi?

Mungu wako katokea vipi?

Nini dhumuni la Mungu wako?

Naomba uniheshimu kwa kunitajia kitabu chako cha dini tukichambue kama mimi ninavyokuheshimu kukujibu maswali yako.

Vinginevyo nitaona unavionea aibu au huvikubali vyote.
 
Back
Top Bottom