hakuna jamii iliwahi kufurahi kwa kupewa wanawake kibao kama sehemu ya pongezi au kuwa na mito ya pombe maanake pombe kuzidi .walau pepo yenu ingesemekana tu kuna pombe sasa mito huoni matatizo ya duniani utahama nayo?
MKuu tuwakane sana, naomba soma between line....Tunachanganya ssanavutu.
"Ukisema hakuna jamii itafurahi kupewa wanawake kibao" unamaanisha kupewa wakiwa wapi mfano haipo sawa katika jamii yoyote ile ukimpa mtu wanawake 70 afanyenao mapenzi ni UOVU, UCHAFU na ZINAA hakuna jamii itakukubali na itakutoa akili kwanini uovu ni MUNGU amekataza.
Je hawa wanawake 70 Mungu amekupa Duniani huyu Mungu aliyekuambia kinyume na ndoa ni UCHAFU dniani ndio aliyekupa na kuruhusu wanawake 70 pepeni So mfano wako haupp valid unatolea mfano kwa Duniani huwezi kuwa sahihi....Kama mfano nikurudishie Swali nawewe sijui mengi kuhusu ukristo ila nimeona Mbinguni muta sifu na kuabudu bila kufanya kazi yoyote SWALI..Je jamii gani itakubali kuambiwa isifu na kuabudu bila kufanya kazi si watakufa njaa you see ila mimi siwezi kukuuliza swali kama hilo kwasababu najua ni mbinguni si duniani.
Hivyo tuelewe MSINGI WA MAMBO kabla ya kujadiri mzee.
POMBE
pombe sio kitu kibaya, ni kinywaji kilochokatazwa Duniani tu hili kutimiza dhumuani la kuwepo duniani ambalo ni IBADA, elewa kitu unachokiita kibaya ni kibaya kwasababu Mungu kaamrisha hiki usifanye na akiruhusu si kibaya tena.
Sasa cha ku-note wengi yale yaliyokuwa mabaya Duniani sehemu ya mtihani bado akili zao zinakuwa Confused yakiwa halali peponi na wanaanza kidhihaki kwa kuvipa majina mabaya
hilli si tatizo la dini husika hili ni tatizo la mtu kukosa elimu ya dini kujua msongi wa ubaya ni nini na ulianzia wapi.
KUSIFU NA KUABUDU
Mkuu jiyahidi kuwa OPEN-MINDED usifungwe na dini yako itakupa nafasi nzuri kuelewa mambo, Kuabudu ni neno zuri na lina sound good kwa kila mtu mwenye utimamu anayeamini kwenye dini yoyote ile si mkristo, muislam, budha nk...Ila hii si mantiki, mantiki ya hapa je ibada ni nini na kwanini ibada.
Ibada ni mtililiko wa vitu na miongozo tuliyopewa binadamu kufanya hapa duniani kama njia ya kufudhu kwenda kwenye MALIPO, nikirejea swali lako pale juu Jamii yoyote ukiiambia MSIFU NA KUABUDU ni jambo zuri ila waaapi ni hapa Dunaini, ukisema tena na huko mbinguni Kuna KUSIFU NA KUABUDU inareta maswali sana kwanini sehemu ya malipp baada ya Dunia kuwe kuna muendelezo wa ufanyaji kazi (Ibada) ni nini maana ya kufanya ibada hapa duniani sasa...TRY TO THINK.
KUSIFU NA KUABUDU VS KUPEWA MABIKRA
_Kusifu na kuabudu ina sound cool kwasababu tupo Dunaini kwenye mapambano na kusifu na kuabudu ni sehemu ya mpambano lakini tunaongelea maisha ya huko peponi minaita mbinguni Je Kusifu na kuabudu ni malipp kweli ukilinganisha na kupewa wanawake 70....Yes wanawake 70 ina sound vibaya kwasababu upp duniani n duniani wanawake 70 ni Uzinzi, kwasbabu Zinaa ni mbaya nk lakini Je tujiulize hawa 70 unapewa Dunaini, je kufanya mapenzi ni kitu kizuro au kibay, je ni raha au sio raha....sasa kitu ambacho ulifanya unapata raha, kinaruhusiwa, kakupa mwenyewe Mungu kwanini kwako ukiambiwa malipo una twist alili na kuona kibaya....CONFUSED.
Naimani utaelewa ila Dini yako itakufunga tu.