Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Mabikra 72 wanaobadirika rangi zaid ya elf1 imagine mwanamke mrembo anakuwa waBlue .
 
Mkuu naandika kwa kufunzana, kufanya mapenzi kwa ilivyotakiwa na kuelekezwa ni umalaya mfano nikitaka kuwa na wake wanne na dini inaruhusu ni umalaya, Yes peponi Mungu kakupa mwenyewe wanawake 70 How come unasema umalaya huyohuyo Mungu ndie aliweka miongozo ya mapenzi.

Umalaya ni kwenda kinyune na maagizo, anayeoa wanawake wanna si malaya ila anayefanya mapenzi na mwanamke mmoja just bila ndoa ni malaya....Act zone za kimapenzi ni nzuri na zinaruhusiwa ukienda kinyume ndio unaoata umalaya, uzinzi, zinaa nk.

Kwanini kuwaza kitu kinachoruhusiwa na Mungu ambacho sikinyume ukipe jina la kinyume.

Zaidi pepeni, hakuna changamoto zone za kifunia hizo magonjwa, shida, infections, kunuka jasho nk...tujifunze haya mambo.

NB: tupende kujifunza jamani
Sasa kama wanaume wanaweza kufanya mapenzi kwa muda mrefu bila kuchoka na kapewa mabikra 72 .Na hapo ushasema hamu ya tendo itakuwa kubwa,huoni hiyo foleni ya kusubiriana kwa hao wanawake tayari ni adhabu kwao?Hii mbingu ya hivi hapana kwa kweli
 
Ili kitu kiwe na maana lazima kiwe na ukomo.

Unahangaika tu na mabrika milele? Utachoka haraka sana, labda;

Allah atoe utashi wako, uwe kama robot, unachojua ni kuzagamuana tu.

Eleweni muktadha wakuu, 'milele' haina mwisho.
Hii mbingu ina ahadi za ajabu aisee.Imagine pia kutakuwa na mito ya pombe.sasa utakunywa say ngapi na wewe una mabikra 72
 
Surah Al-Ahqaf Ayat 9 (46:9 Quran)
"I am not the first of the Messengers; and I do not know what shall be done with me or with you. I follow only what is revealed to me, and I am nothing but a plain warner"
Makubwa,mwenyewe kumbe hajui kitakachompata.Sasa mbona mnamfuata sasa awapeleke wapi?Tafakar usije potea
 
Hivi kwa maana nyingine ni kwamba waislamu na wakristo watakuwa na pepo/mbingu tofauti, I mean kila mmoja atakuwa na mbingu yake special [emoji848][emoji848]
Ingekuwa kuchagua nachagua ya wakristo.hii ya wanawake kufanywa ni tuzo kwa wanaume big no.Hiyo waende wanaume.
 
Hua spending kuandika monies yanayolenga uchochezi wa kidini, ila pepo ya Walsham imekuwa more TANGIBLE dini yoyote ukimuuliza atakwambia wanapewa mabikra nk nk, vitu vingi vimesemwa ila sijawahi kusikia dini nyingine inanimate details zozote kuhusu wao wanaamini nini baada ya kufa wanaenda wapi.

Kama wewe mkristo naomba nielimkshe mumeahidiwa nini huko
Tumalize mbingu ya mapenzi na pombe halafu ufungue uzi tudiscus mbingu nyingine ili tuchague kwa busara
 
KUSIFU MILELE, hii ni adhabu yaani hii ilibidi infantile Dunaini then pepeni ukatumie tu kitu kinaitwa pepo means ni malipo haiitajiki kufanya indada tena nini maana ya malipo sasa....For that sense ndio maana nasemaga uislam dini ambayo ina make sense sana mtu ukitumia akili.

A/Tuna kusifu na kuabudu
B/Kupewa hao mabikwa na kufanya mapenzi tu

Kipi kinaonekana malipo hapo, technically A imekaa MAKING then B ni Spending.

Haya mambo yanaonesha njia kwa mwenye utimamu ila kwa aside timamu ataona negative side na hatofaudika na END FATE.
Kwa sababu kumwabudu Mungu kwako ni adhabu,unaweza sema hivyo.Ila mbingu waliyohaidiwa wakristo haina njaa wala kiu.Mda wote mnafurahi na kuimba.Hivi umeshawahi kwenda kwenye sherehe ?Watu kuimba na kucheza ni raha .Ndo maana katika makabila na jamii zote nyimbo na machezo vinaonyesha furaha.Ila hakuna jamii iliwahi kufurahi kwa kupewa wanawake kibao kama sehemu ya pongezi au kuwa na mito ya pombe maanake pombe kuzidi .walau pepo yenu ingesemekana tu kuna pombe sasa mito huoni matatizo ya duniani utahama nayo?
 
Inaama shida na changamoto zitakuwa ni vikevile nini itakuwa Fate ya ningi kufanya ibada malipo ni nini na baada tena kurudi duniani fate itakuwa nini au itakuwa mzunguuko huohuo.
Hujaelewa hiyo nchi mpya itakuwa haina changamoto hizi tunazopitia katika dunia ya Leo.Ni full shangwe hakuna kifo,hakuna magonjwa nk
 
Utapeli wa kidini. Yaani wewe na akili Yako timamu unajua mtu akifa anafufuka. Siyo kweli kabisa. Halafu kusema watapewa mabikra 70 ni mawazo ya kimalaya na wakati dini inapinga uzinzi. Je wenye ukimwi na magonjwa mengine ya kuambikiza itakuwaje. Tuwe na critical thinking na siyo kufuata mkumbo tu
Karudie kusikiliza wimbo wa kundi la The Ambassadors uitwao "Kwetu pazuri". Mbinguni hakuna magonjwa
 
Ni heri uamini hao wanawake wa peponi wapo halafu ukifika usiwakute, kuliko uamini kuwa hawapo halafu ukifika uwakute na wenzako wanakula Raha. Utapa taabu sana aisee.
Kama ukipata tabu amini hujafika peponi
 
Kwenye Familia yako kuna hata mmoja aliyekufa halafu akarejea na kuja na hadisi motomoto za huko?

Kama jibu NDIO wahi Milembe haraka ukapate matibabu.

Kwasisi Waumini wa Mwanamalundi na Mauzauza ya hapa Afrika Nyote mwakaribishwa.
 
Ndugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.

View attachment 2860064
View attachment 2860063
Ajabu kweli kwamba watu wanaamini mbinguni/peponi wataishi milele jambo ambalo katika dunia yetu tunayoishi haliwezekani, lakini hapohapo wanadhihaki starehe chache tu zilizotajwa kwamba zitakuwepo huko. Lipi kubwa? kuishi milele au kupewa wanawake wenye sifa za kipekee kulinganisha na hawa wa duniani?

Inshort ni kwamba, watakaoingia peponi watapata kila ambacho nafsi zao zinatamani! i find this more rewarding than telling me eti tutaimba na kusifu milele? yani tunaenda kupewa kazi ya kutumbuiza badala ya kuzawadiwa?
 
ivi Hawa watu wanapataga HALLUCINATIONS au wanaongea kwa mujibu wa maandaiko yao
Chukulia wanapata Hallucination. Haya, wewe tuambie unaamini kuna kufufuliwa baada ya kufa? kama ndio manake unaamini kuna Paradise and Hell. Hebu tuambie how will life be in the Paradise? will there be eternal life? how do u measure the eternity? what will people be doing there?
 
Back
Top Bottom