Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
Yaani waarabu wametupiga na kitu kizito kwa kweli, halafu ukiwabana Sana na hoja hawa ndugu zangu katika imani wanakimbilia kusema unakufuru.Hizi ni hadithi za alfulelaulela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we unamuaminije mtu ambaye hajawahi fika huko