Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Tafta mume achana na waume za watu.
Hahaahaaa!Mtatuaji anamsubiri mtatuliwa na sherehe kaisha iandaa.
Wewe endelea na mazoezi in Papa's voice,jamaa alishajiweka tayari kukutatua.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaahaaa!Mtatuaji anamsubiri mtatuliwa na sherehe kaisha iandaa.
Wewe endelea na mazoezi in Papa's voice,jamaa alishajiweka tayari kukutatua.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Queen 👑, mimi ni mume wa mtu. Mk wangu akijua kwamba unanilazimisha nikuchakate atakuua.
 
Mimi nimekubaliana na ww mwanamke kaumbwa kwa ajili ya mwanaume ndio maana hata huo urembo tunautafuta kwa kuwa Kuna wanaovutiwa nao yaani wanaume.
Sasa huko peponi huo ubora anaopewa mwanamke ni upi? Kuwa mrembo kwa ajili ya nani?
Hakuna Mungu atakaye kupa ww vimwana 70 ukae unagegeda tu 24/7.
Hakuna huo upuuzi acha kushikiwa akili na waarabu ww.
ndio akili yako ilipoishia, endelea kuangamia kwa kukosa maarifa,kwa kuwa umeamua kuwa mtumwa wa Lucifer na Masih Dajjal
 
Njia pekee ya Mohammed kuwavutia wanaume wa kiarabu kujiunga na dini yake ilikua ni kuwapa ahadi za anasa kama hizi. Ndiyo maana mpaka Leo watu wako radhi kujilipua na mabomu ili wakafurahie endless sex kwenye danguro la peponi.

Mungu ali-design ngono kwa ajili ya kuzaliana tu ,ngono imegeuka starehe baada ya dhambi kuingia duniani. Mohamed alikua anapenda mabinti wadogo(watoto) so hata fantasy zake za peponi zinahusisha mabinti wadogo,wenye maziwa madogo.
Si kweli mana bi Khadija hakuwa binti bali alikuwa mtu mzima ,na kuoa wake zaidi ya 10 haikuwa kwa tamaa zake bali ni kwa rehma za Allah

Alikuwa anaoa wajane sanasana

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi kusikua wala kuona mwanamke akiwatoroka wazazi wake kwa kuruka ukuta na kwenda kufuata kitu chochote isipokuwa Mkuyenge!.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe sinimwanamke,kuna starehe gani inayoshinda Mikuyenge yetu?.

Sasa ndiyo fahamu kwamba huko Peponi tutastarehe kwa matunda,pombe na migusanisho baina ya Mwanamke na mwanaume(misuguano).
Allah ataruhusu na pombe kabisa [emoji481][emoji481][emoji481]

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
Vipi kuhusu hoja yake ya mabikira 72 wapo au hawapo? Kama wapo. Je wanawake wao watapata nini?

Halafu unamwambia athibitishe kama ni utapeli. Yupo sahihi ni utapeli maana ahadi hizo ni famba.
Hadithi zipo kadhaa zipo zinazo sema 72 zipo zinazo sema 2. Almuhimu watakuwepo Wanawake wa peponi.

Suala la la Wanawake watapata nini halikawekwa wazi, lakini wao watakuwa bora zaidi kuliko Wanawake hao tulioandaliwa huko peponi. Allah anajua zaidi.

Unarudia kosa lile lile alilofanya mwenzako, thibitisha ya kuwa hizi ahadi ni famba na utupe ukweli kwa ithibati.
 
Una kichaa Cha dini ya kuletwa. Wahi tiba haraka sana
Huwa nacheka sana, Sasa kwanini unatuona sisi hatufikirii na nyinyi ndio wagonjwa wa akili kabisa, mnafikiria kitoto sana.

Jibu maswali niliyo kuuliza. Acheni utoto, kila siku nawaambia hivi hakikisheni mnayoyaandika na kuyakosoa mnayajua vizuri.

Jibu hoja, acha kukimbia.
 
Mkuu ukipewa hao mabikira 72 hivi watakuwa na uwezo wa kupata ujauzito?

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Mi ninachofahamu ni kwamba kuzaliana ni sifa ya hapa duniani, sasa huko umpe mimba ili iwe nini? avimbe tumbo tu? Sio hilo tu la mabikra, pia peponi kutakuwa na mito ya asali na pombe. Hakuna kuvimbiwa huko ukaanza kutafuta choo kipo wapi na wala hakuna kulewa ukarukwa na akili kama wale wa liquid!

You guys should appreciate that Uislamu una-provide details zaidi ya peponi kutakuwaje. Kamuulize padri wako akwambie peponi/mbinguni mkishanyakuliwa mtapata nini? atakwambia utaimba na kusifu! how does this motivate you? unless hapa duniani ulikuwa Choir master!
 
Ni vyema kufahamu hivyo hatovipata kila aliyekuwa Muislam, bali Muislam swafi mwenye kutenda mema na kufanya ibada kikamilifu.
Mwenye kuzingatia yale yote yaliyokatazwa, sio rahisi Sheikh!

Hapa tu umeshaanza kutamani hizo ahadi, mitihani mingine utaivuka?
Lakini, karibu katika Uislam.
Niffah na wewe utapata vidume 72....
😎😎😎😎 like seriously
 
Mi ninachofahamu ni kwamba kuzaliana ni sifa ya hapa duniani, sasa huko umpe mimba ili iwe nini? avimbe tumbo tu? Sio hilo tu la mabikra, pia peponi kutakuwa na mito ya asali na pombe. Hakuna kuvimbiwa huko ukaanza kutafuta choo kipo wapi na wala hakuna kulewa ukarukwa na akili kama wale wa liquid!

You guys should appreciate that Uislamu una-provide details zaidi ya peponi kutakuwaje. Kamuulize padri wako akwambie peponi/mbinguni mkishanyakuliwa mtapata nini? atakwambia utaimba na kusifu! how does this motivate you? unless hapa duniani ulikuwa Choir master!
Ushahidi upo wapi
 
Na wanawake wa kiislamu watapata nini?
Watapata kile watachoridhika nacho na zaidi ya hapo.

Sifa moja kwanza ya mwanamke wa peponi among hawa wa duniani ni kwamba they will be more beatiful than hao mnaotajiwa sifa zao.

Mwanaume wa peponi ataduwaa for the period of 40 years admiring the beauty of his wife on his first sight pindi atakapoingia peponi.

Tulichonacho hapa duniani katika starehe ni mfano tu wa kutufanya tuelewe idea ya reality iliyopo peponi
 
MKINIPA USHAHIDI WA HAO MADEMU WA KUWALALA NA HIZO POMBE ZA KUNYWA NA VIDUME VITAKAVYOWALALA DADA ZANGU HUKO MNAKOKUITA PEPONI BAS LEO HII NASLIMU....
NIPENI USHAHIDI WA KUONEKANA NA SIO MANENO.......NA SIMULIZI TU...
 
Back
Top Bottom