Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Akili kubwaπ€Mkuu tendo la ndoa kwa Mungu ni uchafu haijalishi linafanywa na akina nani hivyo haliwezi kuwepo huko mbinguni mahali pake patakatifu, liliwekwa tu hapa duniani kwa ajili ya starehe na kuzaliana na ndio maana hata wanyama na viumbe vingine nao wanalifanya, na pia ndio maana hata Yesu alizaliwa bila baba tena kwa mwanamke Bikira hilo tu lilitosha kuonesha Mungu analichukuliaje tendo la ndoa
Yesu kwa ukamilifu wake hakudiliki kabisa kufanya tendo la Ndoa.Mkuu tendo la ndoa kwa Mungu ni uchafu haijalishi linafanywa na akina nani hivyo haliwezi kuwepo huko mbinguni mahali pake patakatifu, liliwekwa tu hapa duniani kwa ajili ya starehe na kuzaliana na ndio maana hata wanyama na viumbe vingine nao wanalifanya, na pia ndio maana hata Yesu alizaliwa bila baba tena kwa mwanamke Bikira hilo tu lilitosha kuonesha Mungu analichukuliaje tendo la ndoa
[emoji23][emoji23][emoji23]mimi waweke gunia la kilo 120 kabisaitabidi nikifa wa nizike na mkongo kama kilo 2 ivi[emoji848][emoji848][emoji848].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hata kumuoa Safiya ni hikma za Allah zilimuongoza hakuwa anajichukulia mwanamke kwa idhini yake na hiyo ilifanyika ili kupunguza uadui dhidi ya wayahudiMohammed hawezi kuwa mtukufu[emoji26],unakumbuka mauaji ya Khyber? Ambapo waliua wanaume wote wa jamii ya kiyahudi, watoto walikua wanakaguliwa vuzi. Akikutwa vimeanza kuota tu hata kama ni nywele moja iliku anakatwa kichwa.
Kali zaidi walimuua kiongozi wa eneo lile pamoja na mume wa Safiya. Kisha wafuasi wa Mohamed wakagawana wanawake mateka wa vita. Dihya al-Kalbi alimchukua Safiya kama zawadi yake ya vita,kisha mmoja wa wafuasi wa Mohammed akamletea taarifa kwamba Dihya amechukua demu mkali kuliko wote pale Khyber.
Mohammed akatuma ujumbe kwa Dihya kwamba amlete Binti Safiya,akampa chaguo la wanawake mateka wawili wa vita ili yeye abaki na Safiya. Dihya alikubali kwa shingo upande kisha Mohammed akamuoa Safiya siku hiyo hiyo na kumlala usiku wake.
Swali linakuja,nabii gani huyu ambaye unamwita mtakatifu anakua na roho ya kikatili na tamaa za ngono kupitiliza? Unamuoaje mwanamke ambaye umechinja Baba yake,umemtesa mumewe kwa kumchoma na moto kifua kisha ukaamrisha akatwe kichwa?
Nabii ambaye baada ya kusikia uzuri wa Safiya akaingiwa na tamaa na kumnyang'anya mfuasi wake demu ? Nabii ambaye Hana huruma,haya wala binadamu,nawaza tu maumivu na uchungu aliokuwa nao Safiya wakati anapandwa na Mohamed.
Pia Mohammed alivunja sheria yenu inayomtaka mwanamke aliyeachika kukaa miezi mitatu kabla ya kumvulia nguo mume mwingine. Mtume wenu sio mfano wa kuigwa na ndiyo maana hata pepo yenu imejaa fantasy zake za ngono tu. Kusuhu umri wa Mary Mimi sijui labda uniambie wewe,pia usijaribu kuhalalisha makosa ya Mohammed kwa kutafuta makosa ya upande wa pili kwa maana huta yapata.
[emoji2][emoji2][emoji2]
Ndugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.
View attachment 2860064
View attachment 2860063
Anawaua wanaume zao halafu anaoa wajane waliobakiSi kweli mana bi Khadija hakuwa binti bali alikuwa mtu mzima ,na kuoa wake zaidi ya 10 haikuwa kwa tamaa zake bali ni kwa rehma za Allah
Alikuwa anaoa wajane sanasana
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Akitamani mwanamke tu anasema hikma za Allah na ole wenu mbishe mtakomaMkuu hata kumuoa Safiya ni hikma za Allah zilimuongoza hakuwa anajichukulia mwanamke kwa idhini yake na hiyo ilifanyika ili kupunguza uadui dhidi ya wayahudi
Allah ndo mjuzi zaidi
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Kipindi analala na aisha alikuwa hajavunja ungo acha manenoNi kitu kizuri kwamba tayari unakiri utukufu wa Muhammad (SAW) kwa kukiri uwepo wa mengi mazuri aliyofanya, japo unatatazika na kumuoa kwake Aisha katika umri mdogo. Sasa kabla sijakuelemisha naomba kwanza tuambie Mary alipomzaa Jesus alikuwa na miaka mingapi???
Kumbuka tumekubaliana ukubwa unaanzania miaka 18 siku hizi! chini ya hapo ni mtoto na ni unyanyasaji wa haki za watoto, si ndio?
Acha kumtetea muhalifu wa kivitaMkuu hata kumuoa Safiya ni hikma za Allah zilimuongoza hakuwa anajichukulia mwanamke kwa idhini yake na hiyo ilifanyika ili kupunguza uadui dhidi ya wayahudi
Allah ndo mjuzi zaidi
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Hata alipo muoa kwa lazima mke wa mtoto wake wa kufikia Zayd ilisemwa ni hakima za Allah.Akitamani mwanamke tu anasema hikma za Allah na ole wenu mbishe mtakoma
Wewe utapata nini?Ni vyema kufahamu hivyo hatovipata kila aliyekuwa Muislam, bali Muislam swafi mwenye kutenda mema na kufanya ibada kikamilifu.
Mwenye kuzingatia yale yote yaliyokatazwa, sio rahisi Sheikh!
Hapa tu umeshaanza kutamani hizo ahadi, mitihani mingine utaivuka?
Lakini, karibu katika Uislam.
we hayawani ushazoeleka utumbo wako,hujawahi kuwa na akili hata siku mojaHata alipo muoa kwa lazima mke wa mtoto wake wa kufikia Zayd ilisemwa ni hakima za Allah.
Huyo Allah ndiye anayebariki kupora wake za Watu
Huyo mtume ni Kirusi kipenda Ngono
πππππ Hekima zipi? Alimgawa binti wa watu kama mtumwa wa ngono kwa mfuasi wake,aliposikia kwamba ni pisi Kali akamnyang'anya. Sio hivyo tu,wakati anamkula binti wa watu usiku ule kuna mfuasi wa Mohammed hakua na amani,alikesha nje ya turubai la Mohammad mpaka asubuhi.Mkuu hata kumuoa Safiya ni hikma za Allah zilimuongoza hakuwa anajichukulia mwanamke kwa idhini yake na hiyo ilifanyika ili kupunguza uadui dhidi ya wayahudi
Allah ndo mjuzi zaidi
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Sijui kwanini comment yako nimeisoma kwa sauti ya kama ya mashehe hahaha, napendaga sana wanapoanza kwa kusema "Ndugu zangu Waislamu".Ni vyema kufahamu hivyo hatovipata kila aliyekuwa Muislam, bali Muislam swafi mwenye kutenda mema na kufanya ibada kikamilifu.
Mwenye kuzingatia yale yote yaliyokatazwa, sio rahisi Sheikh!
Hapa tu umeshaanza kutamani hizo ahadi, mitihani mingine utaivuka?
Lakini, karibu katika Uislam.