Mohammed hawezi kuwa mtukufu[emoji26],unakumbuka mauaji ya Khyber? Ambapo waliua wanaume wote wa jamii ya kiyahudi, watoto walikua wanakaguliwa vuzi. Akikutwa vimeanza kuota tu hata kama ni nywele moja iliku anakatwa kichwa.
Kali zaidi walimuua kiongozi wa eneo lile pamoja na mume wa Safiya. Kisha wafuasi wa Mohamed wakagawana wanawake mateka wa vita. Dihya al-Kalbi alimchukua Safiya kama zawadi yake ya vita,kisha mmoja wa wafuasi wa Mohammed akamletea taarifa kwamba Dihya amechukua demu mkali kuliko wote pale Khyber.
Mohammed akatuma ujumbe kwa Dihya kwamba amlete Binti Safiya,akampa chaguo la wanawake mateka wawili wa vita ili yeye abaki na Safiya. Dihya alikubali kwa shingo upande kisha Mohammed akamuoa Safiya siku hiyo hiyo na kumlala usiku wake.
Swali linakuja,nabii gani huyu ambaye unamwita mtakatifu anakua na roho ya kikatili na tamaa za ngono kupitiliza? Unamuoaje mwanamke ambaye umechinja Baba yake,umemtesa mumewe kwa kumchoma na moto kifua kisha ukaamrisha akatwe kichwa?
Nabii ambaye baada ya kusikia uzuri wa Safiya akaingiwa na tamaa na kumnyang'anya mfuasi wake demu ? Nabii ambaye Hana huruma,haya wala binadamu,nawaza tu maumivu na uchungu aliokuwa nao Safiya wakati anapandwa na Mohamed.
Pia Mohammed alivunja sheria yenu inayomtaka mwanamke aliyeachika kukaa miezi mitatu kabla ya kumvulia nguo mume mwingine. Mtume wenu sio mfano wa kuigwa na ndiyo maana hata pepo yenu imejaa fantasy zake za ngono tu. Kusuhu umri wa Mary Mimi sijui labda uniambie wewe,pia usijaribu kuhalalisha makosa ya Mohammed kwa kutafuta makosa ya upande wa pili kwa maana huta yapata.