Unajua ukweli haubadiliki kwa mihemko eenh? umeongea kimihemko sana ndugu. Sasa ni hivi ... sisi kwenye uislamu huwa tunakwenda na refence ndo maana ukaona hakuna vitu vinapenya katika dini hii kama kwenye dini nyengine. Naomba reference ya hicho ulichokisoma kiwe kimeelezewa kama ulivyoelezea wewe, au kama umesimuliwa tu sema!Mohammed hawezi kuwa mtukufu😥,unakumbuka mauaji ya Khyber? Ambapo waliua wanaume wote wa jamii ya kiyahudi, watoto walikua wanakaguliwa vuzi. Akikutwa vimeanza kuota tu hata kama ni nywele moja iliku anakatwa kichwa.
Kali zaidi walimuua kiongozi wa eneo lile pamoja na mume wa Safiya. Kisha wafuasi wa Mohamed wakagawana wanawake mateka wa vita. Dihya al-Kalbi alimchukua Safiya kama zawadi yake ya vita,kisha mmoja wa wafuasi wa Mohammed akamletea taarifa kwamba Dihya amechukua demu mkali kuliko wote pale Khyber.
Mohammed akatuma ujumbe kwa Dihya kwamba amlete Binti Safiya,akampa chaguo la wanawake mateka wawili wa vita ili yeye abaki na Safiya. Dihya alikubali kwa shingo upande kisha Mohammed akamuoa Safiya siku hiyo hiyo na kumlala usiku wake.
Swali linakuja,nabii gani huyu ambaye unamwita mtakatifu anakua na roho ya kikatili na tamaa za ngono kupitiliza? Unamuoaje mwanamke ambaye umechinja Baba yake,umemtesa mumewe kwa kumchoma na moto kifua kisha ukaamrisha akatwe kichwa?
Nabii ambaye baada ya kusikia uzuri wa Safiya akaingiwa na tamaa na kumnyang'anya mfuasi wake demu ? Nabii ambaye Hana huruma,haya wala binadamu,nawaza tu maumivu na uchungu aliokuwa nao Safiya wakati anapandwa na Mohamed.
Pia Mohammed alivunja sheria yenu inayomtaka mwanamke aliyeachika kukaa miezi mitatu kabla ya kumvulia nguo mume mwingine. Mtume wenu sio mfano wa kuigwa na ndiyo maana hata pepo yenu imejaa fantasy zake za ngono tu. Kusuhu umri wa Mary Mimi sijui labda uniambie wewe,pia usijaribu kuhalalisha makosa ya Mohammed kwa kutafuta makosa ya upande wa pili kwa maana huta yapata.
Kuhusu kukuuliza umri wa Mary wakati anajifungua Yesu sio kama natafuta makosa upande wenu! kwa taarifa yako sisi tunamtukuza Mary kuliko nyie kwa kuwa sisi tunamtambua ni miongoni mwa wanawake wanne bora kuwahi kuumbwa na ALLAH, isipokuwa sisi hatupindukii mipaka na kumpachika sifa zisizo zake, yeye pamoja na mwanawe Yesu.
Kuhusu umri wake ulikuwa miaka mingapi pindi anajifungua mimi sina uhakika lakini narration zenu nyinyi wenyewe zinasema ni kati ya 12 na 16! (haimaanishi nakubaliana nayo). Sasa swali linakuja je umri huo si umri wa mtoto kwa zama zetu za sasa? na ukigundua hilo utagundua kwamba standard za utoto na utu uzima tulizonazo sasa si zile za karne 1000 au 2000 zilizopita.