Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Mohammed hawezi kuwa mtukufu😥,unakumbuka mauaji ya Khyber? Ambapo waliua wanaume wote wa jamii ya kiyahudi, watoto walikua wanakaguliwa vuzi. Akikutwa vimeanza kuota tu hata kama ni nywele moja iliku anakatwa kichwa.

Kali zaidi walimuua kiongozi wa eneo lile pamoja na mume wa Safiya. Kisha wafuasi wa Mohamed wakagawana wanawake mateka wa vita. Dihya al-Kalbi alimchukua Safiya kama zawadi yake ya vita,kisha mmoja wa wafuasi wa Mohammed akamletea taarifa kwamba Dihya amechukua demu mkali kuliko wote pale Khyber.

Mohammed akatuma ujumbe kwa Dihya kwamba amlete Binti Safiya,akampa chaguo la wanawake mateka wawili wa vita ili yeye abaki na Safiya. Dihya alikubali kwa shingo upande kisha Mohammed akamuoa Safiya siku hiyo hiyo na kumlala usiku wake.

Swali linakuja,nabii gani huyu ambaye unamwita mtakatifu anakua na roho ya kikatili na tamaa za ngono kupitiliza? Unamuoaje mwanamke ambaye umechinja Baba yake,umemtesa mumewe kwa kumchoma na moto kifua kisha ukaamrisha akatwe kichwa?

Nabii ambaye baada ya kusikia uzuri wa Safiya akaingiwa na tamaa na kumnyang'anya mfuasi wake demu ? Nabii ambaye Hana huruma,haya wala binadamu,nawaza tu maumivu na uchungu aliokuwa nao Safiya wakati anapandwa na Mohamed.

Pia Mohammed alivunja sheria yenu inayomtaka mwanamke aliyeachika kukaa miezi mitatu kabla ya kumvulia nguo mume mwingine. Mtume wenu sio mfano wa kuigwa na ndiyo maana hata pepo yenu imejaa fantasy zake za ngono tu. Kusuhu umri wa Mary Mimi sijui labda uniambie wewe,pia usijaribu kuhalalisha makosa ya Mohammed kwa kutafuta makosa ya upande wa pili kwa maana huta yapata.
Unajua ukweli haubadiliki kwa mihemko eenh? umeongea kimihemko sana ndugu. Sasa ni hivi ... sisi kwenye uislamu huwa tunakwenda na refence ndo maana ukaona hakuna vitu vinapenya katika dini hii kama kwenye dini nyengine. Naomba reference ya hicho ulichokisoma kiwe kimeelezewa kama ulivyoelezea wewe, au kama umesimuliwa tu sema!

Kuhusu kukuuliza umri wa Mary wakati anajifungua Yesu sio kama natafuta makosa upande wenu! kwa taarifa yako sisi tunamtukuza Mary kuliko nyie kwa kuwa sisi tunamtambua ni miongoni mwa wanawake wanne bora kuwahi kuumbwa na ALLAH, isipokuwa sisi hatupindukii mipaka na kumpachika sifa zisizo zake, yeye pamoja na mwanawe Yesu.

Kuhusu umri wake ulikuwa miaka mingapi pindi anajifungua mimi sina uhakika lakini narration zenu nyinyi wenyewe zinasema ni kati ya 12 na 16! (haimaanishi nakubaliana nayo). Sasa swali linakuja je umri huo si umri wa mtoto kwa zama zetu za sasa? na ukigundua hilo utagundua kwamba standard za utoto na utu uzima tulizonazo sasa si zile za karne 1000 au 2000 zilizopita.
 
Yaani unakuta kubwa zima na midevu linasikiliza huu upuuzi na kushangilia taakbiiirrrr?
 
Hii narration ya kwamba Mary alikua na miaka kati ya 12-16 umeitoa wapi? Wakristo hatuna Hadith,kama ni kwenye Biblia weka hapa.
Soma hizi links kuhusu majanga yaliyomkuta Safiya na familia yake .
Ibn Ishaq 367-368,
Ibn Saad 2:112-113,
Bukhari 5:59:371,
Tabari 9:120,
Ibn Ishaq 464.
 
soma hii hadith kwa kutulia na uelewe ,, pepo ya allah wewe wa kiume unasubiriwa na viumbe vya kike vipya , na kila mke wa duniani ulie nae akikuhudhi ivyo viumbe huwa vinaomba kwa allah amlaani na amuangamize mke wako wa uku duniani

Imesimuliwa kutoka kwa Mu'adh bin Jabal kwamba:
Mjumbe wa Allaah akasema: "Kila mwanamke anayemkasirisha mumewe, mkewe miongoni mwa houris (wa Peponi) Wanasema salama: 'Usimkasirishe, Mwenyezi Mungu akuangamize, kwani yeye ni mgeni wa muda mfupi na wewe na hivi karibuni atakuacha na ajiunge nasi."' Vol. 3, Book 9, Hadith 2014
 
Peponi ni malipo ya kumuabudu Mungu duniani na kufuata maelekezo yake,kuacha alivyokataza,binaadam ana starehe zaidi ya ngono na pombe!?..dhambi ni duniani,peponi hakuna dhambi
Starehe kubwa kwa binadamu ni kutokuwa na humans needs
 
soma hii hadith kwa kutulia na uelewe ,, pepo ya allah wewe wa kiume unasubiriwa na viumbe vya kike vipya , na kila mke wa duniani ulie nae akikuhudhi ivyo viumbe huwa vinaomba kwa allah amlaani na amuangamize mke wako wa uku duniani

Imesimuliwa kutoka kwa Mu'adh bin Jabal kwamba:
Mjumbe wa Allaah akasema: "Kila mwanamke anayemkasirisha mumewe, mkewe miongoni mwa houris (wa Peponi) Wanasema salama: 'Usimkasirishe, Mwenyezi Mungu akuangamize, kwani yeye ni mgeni wa muda mfupi na wewe na hivi karibuni atakuacha na ajiunge nasi."' Vol. 3, Book 9, Hadith 2014
Hii Dini ni ya Mapepo matupu.
Nashanga ni kwanini hawastuki.

Bora uwe hata Rastafariani ambayo haina ukaribu na Majini.
 
Ayubu 2

1 Tena kulikuwa na siku hao wana wa Mungu walipokwenda kujihudhurisha mbele za Bwana, Shetani naye akaenda kati yao, ili kujihudhurisha mbele za Bwana.
2 Bwana akamwuliza Shetani, Umetoka wapi? Shetani akamjibu Bwana, na kusema, Natoka katika kuzunguka-zunguka duniani, na katika kutembea huku na huku humo.
3 Bwana akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hapana mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mwelekevu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu; naye hata sasa anashikamana na utimilifu wake, ujapokuwa ulinichochea juu yake, ili nimwangamize pasipokuwa na sababu.
4 Shetani akamjibu Bwana, na kusema, Ngozi kwa ngozi, naam, yote aliyo nayo mtu atayatoa kwa ajili ya uhai wake.
5 Lakini sasa nyosha mkono wako, uuguse mfupa wake na nyama yake, naye atakukufuru mbele za uso wako.
6 Bwana akamwambia Shetani, Tazama, yeye yumo mkononi mwako; lakini tunza tu uhai wake.

MTU NA SHOGA YAKE WAKIPIGISHA STORI NA KUPEANA MICHONGO YA KUMTESA MJA WA ALLAH!.
 
Hii post inahusiana vipi na mabikira 72 wa peponi?
 
Daaaah! Jaman sasa kama waarabu na wahindi huku duniani tu hawataki tuwaowe au kuwa karibu na dada zao sasa huko peponi itakuwaje?
 
Ayubu 2

1 Tena kulikuwa na siku hao wana wa Mungu walipokwenda kujihudhurisha mbele za Bwana, Shetani naye akaenda kati yao, ili kujihudhurisha mbele za Bwana.
2 Bwana akamwuliza Shetani, Umetoka wapi? Shetani akamjibu Bwana, na kusema, Natoka katika kuzunguka-zunguka duniani, na katika kutembea huku na huku humo.
3 Bwana akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hapana mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mwelekevu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu; naye hata sasa anashikamana na utimilifu wake, ujapokuwa ulinichochea juu yake, ili nimwangamize pasipokuwa na sababu.
4 Shetani akamjibu Bwana, na kusema, Ngozi kwa ngozi, naam, yote aliyo nayo mtu atayatoa kwa ajili ya uhai wake.
5 Lakini sasa nyosha mkono wako, uuguse mfupa wake na nyama yake, naye atakukufuru mbele za uso wako.
6 Bwana akamwambia Shetani, Tazama, yeye yumo mkononi mwako; lakini tunza tu uhai wake.

MTU NA SHOGA YAKE WAKIPIGISHA STORI NA KUPEANA MICHONGO YA KUMTESA MJA WA ALLAH!.
Allah Ndio nani hapo?
Na Shoga ndilo nani hapo?

Shateni ni mnasema ni Mtu au Jini mtenda maovu.
Shetani wa hapo ulipo nukuu alikuwa ni Mtu au Jini ?
 
Ndugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.

View attachment 2860064
View attachment 2860063
Hawa jamaa wazinzi sana, yaani ufanye mema yoote duniani kwa ajili ya kusubiria bikira 72 peponi huu ni utapeli mwingine kama ule wa Pastor Ezekiel ya kwamba funga mpaka ufe ili ukakutane na Yesu alafu yeye hafungi.

Kuna haja gani ya kuzuia uzinzi na uesharati hapa duniani ikiwa ndicho kitu cha thamani mnachosubiria peponi? Bora Muddy yeye alijitwalia bikira yake hapa hapa duniani hakusubiri peponi ambako hana uhakika nako.
 
Back
Top Bottom