kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #21
Kusema London ni kuzuri kuliko Mahenge ni kuishusha mahenge au ndio ukweli wenyewe? Hivi inapopiga kelele majukwaani ya hela zipo zipo zipo huku watoto wanalala na njaa ndio uongozi? Kila mtu anaweza kununua baiskeli kama ataacha kulipa ada za shule za watoto wake, ataacha kununua chakula cha familia, ataacha kuwalipa wanaomdai, ataacha kuchangia sherehe na misiba ya wengine. Wakati sisi tunashangilia ujenzi wa reli, zahanati na Burigi kuna mambo meeeeeeeeeeengi muhimu sana kwa taifa yaliwekwa makabatini kwa miaka hiyo mitano.kinachoshangaza ni kujaribu kumpaisha mama kwa kuwashusha wengine...
nijuavyo, mama ana mazurii yake na aliyepita ana mazuri yake pia
nakushauri kama lengo ni kumsifia mama, msifia bila kumlinganisha na watu wengine
usijeumbuka.