Kwa ridhaa yenu wanaJF naomba timuongeze huyu kijana katika wale watu wawili

Mashabiki wengi wa bongo wajinga wajinga ndio maana soka letu limejaa ujinga, guardiola kapigwa game 3 mfululizo sio kesi.

Utopolo kapigwa game 2 mfululizo, moja wakiwa pungufu, ya pili wanakosa baadhi ya wachezaji..
Sasa uwanja una husiana nini hapo!?
 
Huyu aliwahi kusema Mvua ya Simba mwenye clip aweke. Yanga ilikuwa inacheza mechi ya Kimataifa Kwa Mkapa🤣🤣
 
Huyu ni shabiki wa Soka na hii kauli yake itadumu Karne na karne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…