Kwa rika lake, Diamond ni Tajiri namba Moja Tanzania

jitahidi kuishi huu mji sio kukaa kaa tu ili usije andika huu upuuzi nxt tyme
 
Utafiti wa hisia bila ya takwimu? Kama hadi Jacline Mengi umeonekana ni tajiri kwenye huo utafiti wako, basi lazima umakita umerudi mbali sana na huna mpango wa kufika popote.
 
Mwanzoni diamond alijiwekaga sana kwenye biashara ya daladala, ila nahisi kuna watu walimstua.

Siku hizi naona anawekeza kwenye manyumba, huyu mtoto kanunua nyumba nyingi sana mitaani tena sana.

Diamond hela anayo ndio maana watu wake wengi wanaomzunguka huwa anawanunulia crown, watu waliopewa toyota crown na mondi ni wengi sanaaa hapa mjini(usishangae kuona mji una crown nyingi, nyingi ni za mondi)
 
Utafiti wako sio wa kweli, nenda machimboni huko mfano Chunya kuna watu wana pesa za hatari na ni vijana wadogo kabisa.
 
Kwa hiyo crown nyingi hapa mjini ni za mondi? What a joke!!
 
Utafiti wako sio wa kweli, nenda machimboni huko mfano Chunya kuna watu wana pesa za hatari na ni vijana wadogo kabisa.
Wataje na at least wanavyovimiliki, nimewahi ki-deal na issues za machimboni hivyo najua mbwembwe na flashing za 'wazungu wa mawe'. Akiwa na milioni 10 utadhani ana bilioni, I've been there.
 
Ni kweli ni tajiri kwenye vijana wa Rika lake lakini namba moja inaleta utata, labda ungeseam kwa vijana wabongo wenye asili ya kiafrika.

huwezi kujisahaulisha walioshika uchumi wa nchi ni wahindi na waarabu, Tumepigwa gap refu mno.

Kuna mdogo wake GSM mmiliki wa Silent Ocean, hakuna haja ya maelezo mengi.

Yupo Benjamin Fernandez Kampuni yake ya Nala ina thamani ya Bilioni 106
 
Good argument, with names at least. Hivyo kwenye moja tumtoe.
 
tuanzie na benjamin fernandz
 
Karudi 34 tena? Sio 38?
 
Hivi Diamond hua ana miradi gani ya maana. Ukimtolea Show anazopata na wasafi festival hana Cashflow kabisa
 
Unaweza kuwa na wazo zuri la kutaka kumjua tajiri kijana wa Tanzania, lakini ni lazima mambo kadhaa yafanyike ili kumjua kama mtu fulani ni tajiri.

Kutengeneza orodha ya matajiri hakuwi kwa mtu kujisemea tu kuwa yeye ni tajiri, basi awekwe kwenye orodha na kutambuliwa ni tajiri. Lazima kuwe na data.

Lakini, bado unayo nafasi ya kutimiza azimio lako la kumtambua tajiri kijana wa Tanzania, ila ni lazima utafute data zifuatazo kutoka kwa vyanzo vya uhakika.

1. Thamani ya Jumla ya Mali (Net Worth)
2. Mapato ya Mwaka na Faida za Biashara
3. Mikopo, Deni na Dhima (Liabilites)
4. Uwekezaji Kwenye Sekta Mbalimbali
5. Mali Isiyohamishika (Real Estate)
6. Ripoti na Orodha Rasmi za Utajiri (Forbes Africa, Bloomberg, Billionaires Index, New World Wealth)
7. Ushawishi wa Kiuchumi


Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…