mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
- Thread starter
- #41
Salaj
Ni kweli ni tajiri kwenye vijana wa Rika lake lakini namba moja inaleta utata, labda ungeseam kwa vijana wabongo wenye asili ya kiafrika.
huwezi kujisahaulisha walioshika uchumi wa nchi ni wahindi na waarabu, Tumepigwa gap refu mno.
Kuna mdogo wake GSM mmiliki wa Silent Ocean, hakuna haja ya maelezo mengi.
Yupo Benjamin Fernandez Kampuni yake ya Nala ina thamani ya Bilioni 106H
Salah huyo ni 40+, may be Kwa Benjamin Fernandes I can agree with u,Ni kweli ni tajiri kwenye vijana wa Rika lake lakini namba moja inaleta utata, labda ungeseam kwa vijana wabongo wenye asili ya kiafrika.
huwezi kujisahaulisha walioshika uchumi wa nchi ni wahindi na waarabu, Tumepigwa gap refu mno.
Kuna mdogo wake GSM mmiliki wa Silent Ocean, hakuna haja ya maelezo mengi.
Yupo Benjamin Fernandez Kampuni yake ya Nala ina thamani ya Bilioni 106