Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Sio ndiyo huyu wa NALA au nachanganganya? Benjamin FernandesYule dogo ambaye aliacha kazi kwa Billy gate anaitwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio ndiyo huyu wa NALA au nachanganganya? Benjamin FernandesYule dogo ambaye aliacha kazi kwa Billy gate anaitwaje?
Matajiri wapo wengi ila hawezi wajua kuna mwamba anaitwa andron mendes aliuza kampuni yake ya kopa gas bilioni 57,Sio ndiyo huyu wa NALA au nachanganganya? Benjamin Fernandes
Yeah huyu sio ndiyo alipataga kesi kipindi fulani?Matajiri wapo wengi ila hawezi wajua kuna mwamba anaitwa andron mendes aliuza kampuni yake ya kopa gas bilioni 57,
Vunja bei ni mkinga siyo mchaga.Yeye ana asset gani vunja bei mchaga yule usione Kuna saa anazimwaga atakuwa na asset za kutosha nyuma ya pazia... Juzi Nenga amepost nyumba ya hadhi yake... Sijawahi kuona nyumba ya chibu zaidi ya Ile ya madale ambayo ni kawaida sana Kwa yy.... Wasafi media ni ubia Kusaga mkewe na yy.... Kipi kingine?
Akili yako fupiNimefanya utafiti usio rasmi Kwa kuangalia Matajiri wa Tanzania na Umri wao, na
nimegundua Matajiri wengi Umri wao ni kuanzia miaka 43-90.
Kwa Umri wa Diamond wa Miaka 34, inamfanya yeye kuwa Tajiri namba moja Tanzania Kwa watu wa Umri wake Kwa hapa Tanzania, hapa tungeweza kuweka watoto wa manji lakini wale walishabadili uraia.
Kwa Tanzania matajiri wakubwa kina GSM, MO, Severin Ngalo, Ahmed Shabib, Rostam Aziz, Kusaga, Abdiel Mengi, Ridhwani Mlingo, Elibarik Lasway, Saidi Lugumi, Joseph Msukuma, Hans Macha, Ernest Massawe, Abood na kuendelea wengi wao Umri wao ni kuanzia miaka 45 na kuendelea na hivyo kufanya diamond kuwa tajiri namba moja Kwa watu wa Rika lake wa Miaka 35. Hapo nimejumuisha na matajiri wa madini ambao sijawataja
Kuna vijana kama Vunja bei, lakini kipato Chao ni kidogo na hawana Assets za kutosha kuitwa matajiri, Kuna Mzee wa kuigiza Chief God Lov ambaye Hana lolote ni Tapeli, Kuna Jackline Mengi yeye ni mkubwa sana Kwa diamond.
Hivyo nadiriki Kusema kuwa Diamond ndio tajiri namba moja Kwa watu wasiozidi Umri wa Miaka 35