Kwa rika lake, Diamond ni Tajiri namba Moja Tanzania

Salaj

Salah huyo ni 40+, may be Kwa Benjamin Fernandes I can agree with u,
 
Hongera kwa kujipaka manukato ya utajiri, wewe sasa si mwenzetu.
 
Ko wewe katika hao upo namba ngapi?
 
Kwa "selfmade under 35" kibongobongo diamond namuweka top 3 japo siwezi jua km anaweza kuwa wa ngapi, lakini hizo namba zote tatu anakaa bila wasiwasi

Jamaa kahaso sana kufika alipo... Kiufupi amejipata
 
 
Hahaha
 
Acha upuuzi wewe, kuna watu wana hela hapo na hawapigi kelele.
 
Sidhani mkuu,sema huna exposure ndiyo maana umetumia sample size ya kina chief Godlove๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Chief Godlove.
Huyo unayemwita chief Godlove akimpeleka Kasumulu Boda...hizo hela zake zote zitawekwa kwenye mfuko wa shati wa machalii wa pale..Kasumu Kuna watu hawajawahi kufika hata Iringa,mwisho wao ni Uyole lakini Kwao kwenda Johannesburg,Beira,Capetown ni kitu Cha kawaida.. Godlove hizo ni mbwembwe tu za kinyakyusa lakini kiukweli bado mtoto sana..Fanya utafiti vizuri..
Wengi huwa mnamwona Masanja mkamdamuzaji kama mtu mwenye hela nyingi sana lakini ukifika Wilaya ya Mbarali/ Mbarari yaani Ubaruku,Chimala, Kapunga( Mapogoro) ndipo utagundua kwamba Masanja ni mtu wa kawaida sana..
Author nakushauri uendelee kufanya utafiti zaidi na zaidi ili ujiridhishe mwisho wa siku ndipo uje na Uzi ulioshiba..
Diamond wako huyo hata hapo Iringa kwa walima miti na wauza mbao anafichwa,Mbeya ndiyo hagusi kabisaaaa..
Kuna mtu Ubaruku anaitwaaaa....au basi nisimtaje Fanya utafiti utamjua mwenyewe
 
Mmmh
 
Yule dogo ambaye aliacha kazi kwa Billy gate anaitwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ