Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
ila Paulo simuelewi, kwamba Mungu ana upumbavu?Wazungu pamoja na kuwabagua na kuwanyanyapaa watu weusi kwasababu ya rangi ya ngozi yao! Sasa hivi waangalie walivyojichora "tattoo" na miili yao kuwa myeusi kama makaa!
1 Wakorintho 1:25
[25]Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.
Because the foolishness of God is wiser than men; and the weakness of God is stronger than men.
Sio Paulo! Ni neno la Mungu!ila Paulo simuelewi, kwamba Mungu ana upumbavu?
mkuu hivi unajua upumbavuSio Paulo! Ni neno la Mungu!
Upumbavu kibiblia sio tusi!mkuu hivi unajua upumbavu
Upumbavu wa mungu ni mfano kuumba mbu wasiona faidamkuu hivi unajua upumbavu
Kwahy upumbavu una madaraja yake?Upumbavu kibiblia sio tusi!
Hapana! Upumbavu ni Upumbavu tu!Kwahy upumbavu una madaraja yake?
Kwan ww una faida gn kwa mbu?Upumbavu wa mungu ni mfano kuumba mbu wasiona faida
Kaka wananinyonya damuKwan ww una faida gn kwa mbu?
The best singers in this world are mosquitoes. Even if you don't like their songs you'll end up clappingUpumbavu wa mungu ni mfano kuumba mbu wasiona faida
Kwan tangu umezaliwa uliwahi kusikia mbu wamekufa kisa hawajanyonya damu ya mtu?Kaka wananinyonya damu
Sasa hii ndo nini? Umeona eeeh!
Tena una-clapping huku una maumivu 😂The best singers in this world are mosquitoes. Even if you don't like their songs you'll end up clapping