Kwa sababu ya umasikini wangu wazazi wa binti wamenikataa

Mleta mada ishi hapa.
 
Nawez kukubaliana na ww, ila nasikitika wamenihukumu mapema sana.
Lakin kw kuwa ni kaskazin nawez nikaelew kwa nn.

Pia natambua hierachy of wealthy, watu huishi kw level zao. But kuna kupanda na kushuka.
mwisho siku im not their level nakubal hilo
Sasa wakati mwengine inabidi uforce hadi iwe kweli Mkuu, usikubali kukaa kinyonge wala usijishushesana mbele ya baba wa binti. Washua wa kaskazini wana mambo mengi sana akikuona muoga muoga unatetemeka tetemeka anaanza kukudharau, ila akikuona uko bold na misimamo yako anakukubali.
 
Kila mtu na maisha yake na kila mtu anajua nn anataka ktk maisha yake

Sioni km kuna ubaya wazazi kukukataa sabu wanataka mtu wanae ona wao ni sahihi kwa future ya binti yao

Tusipende sana kutafuta ubaya ktk kila suala mambo mengne tukubaliane nayo km ww ni maskin tafta maskini mwenzako au tafta mwanamke ambae atakubariana na hali yako ila sio kuleta lawama za kitoto

Nani anataka mkwelima wake awe mchinja ng’ombe na buzi misibani nani anataka mkwelima wake ndo awe anapangwa kusimamia kadi na kusimia sekta ya misosi harusini /msibani na kuhakikisha sahani azipotei

Lakin pia 20+ unawaza kuoa ebu kwanza tafta maisha bana kuoa ni haki yako utaoa tu ila ngoja ata ufikishe 35+ inawezekana kbsa ktk umri uwo ukawa tyr ushatoboa maisha na pia akili ya kukaa na familia itakua imekua
 
Ndugu wekeza maisha yako kwenye kutafuta hela achana na mapenzi, uzeeni huko mapenzi hakuna ila hela ukiwa nayo itakupatia furaha na mahitaji ya maisha yako.

Mapenzi yatakupatia nini?. Watoto? Furaha?.
Watoto watakusaliti na kuwa upande wa mama yao mke nae anataka uhuru wake. Hela tu ndio itabaki kuwa nawe sio mapenzi
 
Kuna mwamba familia walimkataa akaenda fight akatusua akarudi wakampa mke. Pambana huenda wao ndio chachu ya wewe kufanikiwa, KUMBUKA UKITUSUA USIDATE NA MWANAMKE ASIE NA MBELE WALA NYUMA.
Sitarud nyuma, nashikilia hapo kwa "ASIE NA MBELE WALA NYUMA"
 
Uko sahih, but mapenz ni ya wawili. We decide nin kinafaa for us, binafs nisingepend kuchaguliw who wa kuwa naye.
Ni best hili limetokea coz nimejua nilikuwa n mtu wa aina gan, wakwe wa aina gan.

Tusingesolve changamoto bila y familia kushirikishwa, alwys ningekuwa kikaangoni. Sidhan kuna any man anatak sitution kam hii.

Cna ubay na binti wala familia, "dont hate players hate the game"
 
Ntaishi humu
 
Hili swala mkuu hapo mwshoni umempotosha 35+ ndo apate mtoto. Wa kwanza like seriously??
 
Infact mzee, hivi unawajua watoto wa uzeeni walivo lakini hapa na kupinga huu mwaka tu mimi nimedomba mademu 24, Ebu imagine mkuu na sababu sijapata mtu naempenda nakurejelea mwaka 2022 nilitoka na wanawake wawili tangu mwaka uanze hadi ukaisha mwaka, na hapo kwasababu nilikuwa na mtu ni naempenda

Je Ina maana kijana kama Huyu atajisave vipi na uzinzi kama wangu
 
Unaendekeza uzinzi ila ukijua unachikitaka huwezi kuwa malaya....ila.hao wote 24 ulikuwa unatafuta nini ambacho.hujakipata kwa mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…