Kwa sababu ya umasikini wangu wazazi wa binti wamenikataa

Pole mwana.
Achana naye huyo binti. Utapata mwingine, Bomba, mtamu, Mwenye heshima na upendo toka kwake na wazazi wake.
Amini hivyo!
 
hakuna shida we pambana kutafuta pesa na utapata mwanamke anayekufaa
 
Wewe ni late 20s (28 or 29yrs). Bado una muda, jipange, tafuta. Jifunze kujijali wewe kwanza, enjoy your own company kama huna uchumi mzuri. Hao wanawake utakutana nao automatically mambo yako yakiwa mazuri.
 
Sasa nani anataka maskini kwake? Sema qalitakiwa kuwekeza binti Yao mapema asilete maskini Kwa Wazazi wake vinginevyo asepe huko na huyo fukara wake πŸ˜†πŸ˜†

Kuoa binti maskini is okey ila kuolewa na mwanaume maskini ni mtihani.

Mwisho hata ungekuwa wewe ndio Wazazi ungekubali?
 
Maskini Kwa maskini sawa ila maskini Kwa wenye nacho hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…