Kwa sababu ya umasikini wangu wazazi wa binti wamenikataa

Kwa sababu ya umasikini wangu wazazi wa binti wamenikataa

Dogo pole sana.
Ipo hivi.

Unapokua katika Hali uliyonayo wewe, unakua na Imani kwamba huyo binti ndio mzuri na anafaa kuliko wote duniani. Unakua unapata picha Kwa mba ukimuacha unaweza usipate mwingine kama yeye.

Wengi tumepitia hali hiyo. Mimi nilikuja kutambua kua yule alikua kiazi sana yaan kiazi haswa. Kama ningemuoa, ndoa ingenishinda na kama ningekomaa, ningekua mtumwa wa ndoa, yaan ndoa ingenie desha Sana na bila shaka ningekua mtu wa ajabu nisiye na maono ya wapi naenda.

Katika Dunia, Mungu kaumba wa kufanana. Changamoto huja pale anapomchelewesha kwako, yeye Mungu anakua na kusudi zuri tu, akija usimpoteze, akukute umejipanga na umeenea, sio ki pesa au mali, hapana, ki mawazo na utu uzima.

Jikaze, Sali sana, Muombe sana Mungu akuvushe salama.

Hujachelewa hata kidogo. Jipange kiutafutaji sana. Angalia channel zako za pesa zifanyie kazi haswa. Achana na kukimbizana na mapenzi, mpenzi kama huyo atakufanya ukimbizane na mapenzi kumridhisha yeye na sio kujenga maisha yenu ya baadae.

Alie wako atakuelewa vyema na mtayajenga yaliyo yenu.
 
Mimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro.

To cut long story short,

Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything nilichokuwa nacho kwa huyu binti, nikiamini amenielew kwa hali na mali. Nikiwa na tumaini tutafika wote kw kilele cha mafanikio.

SHIDA iko hapa, nimezaliwa kwenye umaskini (si kigezo) na mpaka sasa sijatusua kimaisha kipato kidgo.
Now, wazazi wa binti HAWANITAKI.

Wamezuia mahusiano kati yangu na binti kw kigezo sina mbele wa nyuma, sina pesa, wanaona nitaharibu maisha ya binti.

Mpenz wangu huyu, umeungana na familia, akidai haoni future na mim tena, ilihali amekuw na mm kipind chote na haikuwah kuwa ishu before.

Nimepigwa pigo la Kimaisha na Kimapenzi pia

*Nimezongwa na maumivu, fedheha. Muda huu siwez kufikiria straight

Tafadhal naombeni ushauri/maoni/suggestions.

Asanteni
Sasa usilaumu wazazi wako maana jukumu lao kwako liliisha ulipo fikisha miaka 18 tu..sasa hadi unafika late 20s means una 29 utuambie miaka yotee 11ulikuwa unafanya nini hadi uendelee kubaki ulivyo..
 
Wazazi wengi sana wanageuza watoto kuwa mradi hilo wala lisikuumize sana jambo la msingi tafuta pesa, kuna bwana mkubwa mmoja alikua ni mtangazaji huko nje ya nchi kakaa huko kakutana na warembo wa kila aina lakini hakuwa kufanya ndoa mpaka kaja tanzania ndo kaoa akiwa na miaka mingi tu ndoa haifosiwi ukifosi umeumia mkuu tunafosi ku JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala tu
Well said, niliwaza hvyo pia. Mahusiano ya binti yao ni transaction.
Shukran san
 
Umri mdogo kuendekeza mapendi, jitafute kwanza, tafuta ela hao wanawake hawajawahi kuisha duniani na utawaacha!! Pambana toka maghetoni gadamiti weweee, acha utegemezi toka, kuzaliwa maskini sio kosa, ila kufa maskini ni kosa kenge wewe....!!
Mwaka unapinduka unawaza wanawake tu na mapenzi, bora hiyo familia wamekukata ndio uongeze mapambano gadamiti!! Hakuna atakayekuheshimu ukiwa maskini tena kijana mdogo kabisa hata 30 hujafika umeanza kulialia, una utoto mwingi sana, ushakuwa mtu mzima acha wenge
Umeenyooka, napenda hard truth.
Naappreciate namna umenikaanga, bless.
 
Back
Top Bottom