Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Ndio maana nasema kuna namna si bure.Si ndiye wakati fulani alimsifia ana kifua kizuri?
Yule mumewe na tambi lake lililodondoka sijui alijisikiaje achilia mbali watoto wake hasa wa kiume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nasema kuna namna si bure.Si ndiye wakati fulani alimsifia ana kifua kizuri?
Yule mumewe na tambi lake lililodondoka sijui alijisikiaje achilia mbali watoto wake hasa wa kiume.
Kaigiza movie hadi mwenyewe Rais wa nchi ndio itakuwa Harmonize?Kwanini asiende? Kwani unawachukuliaje wasanii wewe? Unafahamu mchango wao katika uchumi,utalii pamoja na biashara? U afahamu msanii kama Harmonize ana wafuasi wangapi wanaomfuatilia kila siku? Nani kati yako na Harmonize anaeza kuutangaza vyema utalii wetu na kuwavuta watu wakaja hapa nchini?
Be serious bwana, kwamba hawa wasanii wenu wanaoimba chaapati, chaapati... Ndo wanasikilizwa ulaya na marekani?Please be informed kwamba mziki wa bongo unaishia Kenya(our fellow Swahili speakers) , hata Uganda tuu ni kwa mbali sana.Acha uchonganishi wako hapa wewe. Kwani nani ambaye hafahamu kuwa siku ya Mei Mosi Mheshimiwa Rais wetu alikuwa nje ya Nchi kuiwakilisha nchi yetu. Laini pia umeona na kushuhudia kule Marekani Marais wakihudhuria matukio kama hayo? Unafahamu mchango wa wasanii katika jamii? Unakuwa msanii anaweza kutumika katika kutangaza utalii na kuwashawishi watalii kuja hapa Nchini?
Embu angalia msanii kama JAY-Z anasikilizwa nawatu zaidi ya millioni 39 kwa mwezi ,hapo bado sijazungumzia wafuasi wake katika mitandao ya kijamii ambao wapo mamilioni kwa mamilioni Duniani kwote. Je unafikiri unafikiri ushawishi wake unaweza kulingana hata na waziri mwandamizi wa wizara gani hapa nchini akiamua kulipa msukumo Jambo fulani?
Shida yenu CHADEMA akili zenu akili zenu ni fupi sana na mnawaza karibu sana.
Siku ya mei mosi rais alikuwa na mkutano pamoja na maraisi wa east Africa Nairobi Kenya.Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu 😀😀😀
Ndio maana hata katika mikutano yake yote hajawai kudokeza wala kufafanua hoja zenu. Fikiria Rais anakuwa na mipango na wasanii kuambatana naye nje ya nchi, yaani imekuwa kipaumbele chake, lakini sio kusema chochote kuhusu kikokotoo
Mnataka mfanyiwe nini ili muelewe kwamba mmepuu
Kwenye mambo ya kipuuzi anaenda. Kwenye mambo ya msingi anatuma muwakikishi duuhh,Eti rais wa nchi anaenda kwenye show ya msanii na kutoka midnight, mbona hapo hakutuma mwakilishi kama anavyofanya kwenye mambo mengine?!
Hawajawahi kwakweli..🤗🤗Kwani ccm huwaga wanategemea maamuzi ya wapiga kura?
Kabisa aisee,hii imemvaa ni vile tu nchi yetu haina mambo mengiMaza alifit sn kwenye nafasi ya Makamu lakini siyo hii inayohitaji mtu serious na mfuatiliaji
Lucas Mwashambwa na Chawa Namba Moja na chawa wa mama wengine kibao watasema Hamonaiza naye ni Mtanganyika😀😀😀. Na hiyo ni kweli...Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu 😀😀😀
Ndio maana hata katika mikutano yake yote hajawai kudokeza wala kufafanua hoja zenu. Fikiria Rais anakuwa na mipango na wasanii kuambatana naye nje ya nchi, yaani imekuwa kipaumbele chake, lakini sio kusema chochote kuhusu kikokotoo
Mnataka mfanyiwe nini ili muelewe kwamba mmepuuzwa?
Wachache wakielewa inatosha mkuu.Wachache watakuelewa
Go to hell chawa, fisadi, tapeli, mbuzi mmoja weweAcha uchonganishi wako hapa wewe. Kwani nani ambaye hafahamu kuwa siku ya Mei Mosi Mheshimiwa Rais wetu alikuwa nje ya Nchi kuiwakilisha nchi yetu. Laini pia umeona na kushuhudia kule Marekani Marais wakihudhuria matukio kama hayo? Unafahamu mchango wa wasanii katika jamii? Unakuwa msanii anaweza kutumika katika kutangaza utalii na kuwashawishi watalii kuja hapa Nchini?
Embu angalia msanii kama JAY-Z anasikilizwa nawatu zaidi ya millioni 39 kwa mwezi ,hapo bado sijazungumzia wafuasi wake katika mitandao ya kijamii ambao wapo mamilioni kwa mamilioni Duniani kwote. Je unafikiri unafikiri ushawishi wake unaweza kulingana hata na waziri mwandamizi wa wizara gani hapa nchini akiamua kulipa msukumo Jambo fulani?
Shida yenu CHADEMA akili zenu akili zenu ni fupi sana na mnawaza karibu sana.
Yeye wenyewe ukimuuliza malengo yake ni nini kama mkuu wa nchi hajuiKabisa aisee,hii imemvaa ni vile tu nchi yetu haina mambo mengi
Kawaida huwa ni kuanzia April to May lakini kimyaBado mkuu, wanasikilizia juni au julai, hiyo miezi ikipita watavumilia maumivu. Sasa hivi bado ni optimistic.