makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
😂🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusaidie sisi wajinga tufanyeje mkuu? Au ninyi were werevu tusaidieni sie wajingaMkome na TUCTA yenu, wenzenu wanakupiga pesa nyie wajinga mnakatwa kila mwezi
Jitoeni kwenye huo ujinga wa vyama vya wafanyakazi, pia kwenye uchaguzi wekeni watumishi wenzenu haswa kwenye ubunge na udiwani, wafanyabiashara huwa wanaweka watu wao wa kulinda maslahi yao.Tusaidie sisi wajinga tufanyeje mkuu? Au ninyi were werevu tusaidieni sie wajinga
CCM hawaitaji kura wala kampeni, wanafanya ili mradi kuipitia hatua hiyo au kutimiza wajibu... Utake usitake kura ushapiga na utapiga hata bila wewe mwenyewe kujua 😊Kule ndipo mahala pa kampeni, wanasiasa kila waonapo wawili watatu wamekusanyika wanajua kuna kura, hadi misibani wanafanya kampeni, ye asikute ki group cha watu anajua hapa kura zipo.
Watumishi wa umma wanatambua kuwa Rais Samia abawapenda na kuwajali sana. Kwa kuwa wanafahamu ya kuwa ni Rais Samia ndiye aliyewaongezea mishahara na kuwapandisha madaraja. Wanafahamu ya kuwa ni Rais Samia ambaye amewalipa madaraja mserereko na kuwalipa stahiki zao zote walizokuwa wanazidai.Sikupingi huyu mama amewapuuza pakubwa sana watumishi wa umma
Mdogo wangu si nilishakwambia acha kupenda kuropoka ropoka tu hapa jukwaani?Maza alifit sn kwenye nafasi ya Makamu lakini siyo hii inayohitaji mtu serious na mfuatiliaji
Nje ya JamiiForums Unanijua vizuri mkuu?!Kwanini asiende? Kwani unawachukuliaje wasanii wewe? Unafahamu mchango wao katika uchumi,utalii pamoja na biashara? U afahamu msanii kama Harmonize ana wafuasi wangapi wanaomfuatilia kila siku? Nani kati yako na Harmonize anaeza kuutangaza vyema utalii wetu na kuwavuta watu wakaja hapa nchini?
Bora sepetu anaweza tunza hata kile kijibwa huyu sasa ni debe tupu kujiremba na kuzurula ndo ajualokina bashiru walikua sahihi sana!
huyu mtu hana tofauti na kina wema sepetu
Una matatizo snMdogo wangu si nilishakwambia acha kupenda kuropoka ropoka tu hapa jukwaani?
Una mifano ya kizembe sana kama bwana Bumunda. Unawekaje mifano ya watu wa US na nyie mazumbukuku?Acha uchonganishi wako hapa wewe. Kwani nani ambaye hafahamu kuwa siku ya Mei Mosi Mheshimiwa Rais wetu alikuwa nje ya Nchi kuiwakilisha nchi yetu. Laini pia umeona na kushuhudia kule Marekani Marais wakihudhuria matukio kama hayo? Unafahamu mchango wa wasanii katika jamii? Unakuwa msanii anaweza kutumika katika kutangaza utalii na kuwashawishi watalii kuja hapa Nchini?
Embu angalia msanii kama JAY-Z anasikilizwa nawatu zaidi ya millioni 39 kwa mwezi ,hapo bado sijazungumzia wafuasi wake katika mitandao ya kijamii ambao wapo mamilioni kwa mamilioni Duniani kwote. Je unafikiri unafikiri ushawishi wake unaweza kulingana hata na waziri mwandamizi wa wizara gani hapa nchini akiamua kulipa msukumo Jambo fulani?
Shida yenu CHADEMA akili zenu akili zenu ni fupi sana na mnawaza karibu sana.
Mei mosi ni upuuzi tu harmonize ndo mpango mzimaWafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu [emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio maana hata katika mikutano yake yote hajawai kudokeza wala kufafanua hoja zenu. Fikiria Rais anakuwa na mipango na wasanii kuambatana naye nje ya nchi, yaani imekuwa kipaumbele chake, lakini sio kusema chochote kuhusu kikokotoo
Mnataka mfanyiwe nini ili muelewe kwamba mmepuuzwa?
Watanzania hasa Wana CCM maisha yetu ni Sawa na maisha ya wanywa gongo maana kila siku ukinywa lazima ufumbe macho.Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu [emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio maana hata katika mikutano yake yote hajawai kudokeza wala kufafanua hoja zenu. Fikiria Rais anakuwa na mipango na wasanii kuambatana naye nje ya nchi, yaani imekuwa kipaumbele chake, lakini sio kusema chochote kuhusu kikokotoo
Mnataka mfanyiwe nini ili muelewe kwamba mmepuuzwa?
Hakuna mtanzania wa kuwakumbuka kina Sukuma gangKina bashiru itafika mahali mtawaelewa sana
Watumishi washapigwa kabaliMsala ule... angejieleza vipi mambo ya kikokotoo, bora alikimbia
Kwani hana msaidizi wake ambaye ni makamu wa Rais?Kwani siku ya Mei mosi alikuwepo nchini?