Kwa Samia, Harmonize ni muhimu kuliko Wafanyakazi na Mei Mosi!

Wafanyakazi wa taifa hili ni mazuzu na wapumbavu wengi wanaona bora kuwa chawa kuliko kupigania haki zao.
Wafanyakazi siyo wajinga kama wewe. Wanafahamu namna serikali yao chini ya Rais Samia inavyowapigania ,kuwajali na kuthamini mchango wao kwa ustawi na maendeleo ya Taifa letu. Ndio maana ni watulivu na wanaendelea na kazi na kuwa bega kwa bega na serikali yao.
 
Mama ametufikia hadi sisi wasanii wa bongo fleva na sanaa za maigizo na kubuni
 
Kwani mei mosi tena iliyofanyika mchana ulimuona? ila kwenye kigodoro cha Harmonize usiku alikuwepo!
Alikuwa kwenye majukumu ya kuwalisha nchi yetu kimataifa. CHADEMA roho zinawauma na kuona wivu mkubwa sana kwa kuona wasanii wote wakubwa walishawakataeni na kuwapuuza .maana wanafahamu ninyi ni matapeli na madalali wa siasa na hamna mchango wowote ule kwa maendeleo ya Taifa letu.
 
Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu 😀😀😀

Ndio maana hata katika mikutano yake yote hajawai kudokeza wala kufafanua hoja zenu. Fikiria Rais anakuwa na mipango na wasanii kuambatana naye nje ya nchi, yaani imekuwa kipaumbele chake, lakini sio kusema chochote kuhusu kikokotoo

Mnataka mfanyiwe nini ili muelewe kwamba mmepuuzwa?
Umesema ukweli kabisa!
nilishasema humu ccm inajitahidi sana kutuonyesha kwamba hawafai kupewa madaraka tena ila sisi kila siku tunajitahidi kuwarudisha madarakani ipo siku hii nchi itaanguka vibaya sana..

mpaka sasa kinachofanya nchi iende ninkwamba watu wanaangalia familia zao zinaishi wanaamua kukaa kimya ila watu wana fukuto la kutosha na ni swala la muda tu
Umesema ukweli kabisa!
 
Alikuwa kwenye majukumu ya kuwalisha nchi yetu kimataifa. CHADEMA roho zinawauma na kuona wivu mkubwa sana kwa kuona wasanii wote wakubwa walishawakataeni na kuwapuuza .maana wanafahamu ninyi ni matapeli na madalali wa siasa na hamna mchango wowote ule kwa maendeleo ya Taifa letu.
Wasanii hawa wataondoka na ccm muda mfupi sana ujao, yuko wapi Bichuka au Muumini Mwinjuma?
 
Bashiru na Ndugai walistahili kufanya walichotaka kufanya kusema ukweli.
Ujinga uliokujaa kichwani mwako ndio unaokusumbua wewe. Rais Samia ataendelea kusalia madarakani na kupeta kwakuwa anaungwa mkono na mamilioni ya watanzania.
 
Unaweza kuta ushawahi kuniomba posho nje ya JF ila humu unaniita mjinga, Lol
 
Wasanii hawa wataondoka na ccm muda mfupi sana ujao, yuko wapi Bichuka au Muumini Mwinjuma?
Itaondoka CHADEMA kama mvuke au moshi na kuicha CCM ikiendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka nenda rudi kwa kadri ya uhai wa Taifa letu.
 
Acha uchonganishi wako hapa wewe. Kwani nani ambaye hafahamu kuwa siku ya Mei Mosi Mheshimiwa Rais wetu alikuwa nje ya Nchi kuiwakilisha nchi yetu. Laini pia umeona na kushuhudia kule Marekani Marais wakihudhuria matukio kama hayo? Unafahamu mchango wa wasanii katika jamii? Unakuwa msanii anaweza kutumika katika kutangaza utalii na kuwashawishi watalii kuja hapa Nchini?

Embu angalia msanii kama JAY-Z anasikilizwa nawatu zaidi ya millioni 39 kwa mwezi ,hapo bado sijazungumzia wafuasi wake katika mitandao ya kijamii ambao wapo mamilioni kwa mamilioni Duniani kwote. Je unafikiri unafikiri ushawishi wake unaweza kulingana hata na waziri mwandamizi wa wizara gani hapa nchini akiamua kulipa msukumo Jambo fulani?

Shida yenu CHADEMA akili zenu akili zenu ni fupi sana na mnawaza karibu sana.
Acha ujinga wewe, sio Kila anaehoji ni chadema
Wafanyakazi siyo wajinga kama wewe. Wanafahamu namna serikali yao chini ya Rais Samia inavyowapigania ,kuwajali na kuthamini mchango wao kwa ustawi na maendeleo ya Taifa letu. Ndio maana ni watulivu na wanaendelea na kazi na kuwa bega kwa bega na serikali yao.
Acha ujinga wewe, watu wanafundo moyoni.
 
Wanajua wafanyakazi wa taifa hili hawana umoja ndio maana mnapuzwa TU.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu 😀😀😀

Ndio maana hata katika mikutano yake yote hajawai kudokeza wala kufafanua hoja zenu. Fikiria Rais anakuwa na mipango na wasanii kuambatana naye nje ya nchi, yaani imekuwa kipaumbele chake, lakini sio kusema chochote kuhusu kikokotoo

Mnataka mfanyiwe nini ili muelewe kwamba mmepuuzwa?

WAFANYAKAZI WENYEWE WANA AKILI BASI?
 
Alikuwa kwenye majukumu ya kuwalisha nchi yetu kimataifa. CHADEMA roho zinawauma na kuona wivu mkubwa sana kwa kuona wasanii wote wakubwa walishawakataeni na kuwapuuza .maana wanafahamu ninyi ni matapeli na madalali wa siasa na hamna mchango wowote ule kwa maendeleo ya Taifa letu.
Rushwa inatembea wewe pimbi!
 
Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu 😀😀😀

Ndio maana hata katika mikutano yake yote hajawai kudokeza wala kufafanua hoja zenu. Fikiria Rais anakuwa na mipango na wasanii kuambatana naye nje ya nchi, yaani imekuwa kipaumbele chake, lakini sio kusema chochote kuhusu kikokotoo

Mnataka mfanyiwe nini ili muelewe kwamba mmepuuzwa?
Narudi Tena, KIKOKOTOO NI JINAMIZI KIKEMEWE KILA KONA
 
Back
Top Bottom