Kwa Samia, Harmonize ni muhimu kuliko Wafanyakazi na Mei Mosi!

Kwa Samia, Harmonize ni muhimu kuliko Wafanyakazi na Mei Mosi!

Eti rais wa nchi anaenda kwenye show ya msanii na kutoka midnight, mbona hapo hakutuma mwakilishi kama anavyofanya kwenye mambo mengine?!
Mkuu,
Show iliiisha MAPEMA before saa 22:30 hrs

Humu Kuna mhasibu okw boban sunzu afanye assignment ya impact of president Samia suluhu hassani ku attend harmonizer album releasing event hapo mlimani city mall... (It'sworth for Tanzania music industry)

mimi nasoma comment 😊
 
Acha uchonganishi wako hapa wewe. Kwani nani ambaye hafahamu kuwa siku ya Mei Mosi Mheshimiwa Rais wetu alikuwa nje ya Nchi kuiwakilisha nchi yetu. Laini pia umeona na kushuhudia kule Marekani Marais wakihudhuria matukio kama hayo? Unafahamu mchango wa wasanii katika jamii? Unakuwa msanii anaweza kutumika katika kutangaza utalii na kuwashawishi watalii kuja hapa Nchini?

Embu angalia msanii kama JAY-Z anasikilizwa nawatu zaidi ya millioni 39 kwa mwezi ,hapo bado sijazungumzia wafuasi wake katika mitandao ya kijamii ambao wapo mamilioni kwa mamilioni Duniani kwote. Je unafikiri unafikiri ushawishi wake unaweza kulingana hata na waziri mwandamizi wa wizara gani hapa nchini akiamua kulipa msukumo Jambo fulani?

Shida yenu CHADEMA akili zenu akili zenu ni fupi sana na mnawaza karibu sana.
Mkuu kwani mei mosi ni jambo la gafla?kwann aende nje kabla hajajibu hoja za wafanyakazi
 
Mkuu kwani mei mosi ni jambo la gafla?kwann aende nje kabla hajajibu hoja za wafanyakazi
Hoja gani yawafanyakazi isiyojulikana na kujibika? Serikali imetoa ufafanuzi katika hoja zote za wafanyikazi na ndio sababu unaona wafanyakazi ni watulivu na wanaendelea na kazi ya kulitumikia Taifa letu.
 
Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu 😀😀😀

Ndio maana hata katika mikutano yake yote hajawai kudokeza wala kufafanua hoja zenu. Fikiria Rais anakuwa na mipango na wasanii kuambatana naye nje ya nchi, yaani imekuwa kipaumbele chake, lakini sio kusema chochote kuhusu kikokotoo

Mnataka mfanyiwe nini ili muelewe kwamba mmepuuzwa?
Sikupingi huyu mama amewapuuza pakubwa sana watumishi wa umma
 
Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu 😀😀😀

Ndio maana hata katika mikutano yake yote hajawai kudokeza wala kufafanua hoja zenu. Fikiria Rais anakuwa na mipango na wasanii kuambatana naye nje ya nchi, yaani imekuwa kipaumbele chake, lakini sio kusema chochote kuhusu kikokotoo

Mnataka mfanyiwe nini ili muelewe kwamba mmepuuzwa?
Hivi watumishi wa umma huwa wanapandishwa madaraja May mwaka huu wamepanda kweli?
 
Pwani na Zanzibar Muziki ni sehemu ya Utamaduni muhimu nadhani bwashee Mrangi ova anakumbuka tulivyocheza Isambe tukiwa na mzee Rukhsa na Kanda Bongoman mwenyewe pale Shamba la bibi

Nyie waajiriwa msubirini Dr Mwigullu PhD kwenye Bajeti, mtafurahi 😄
Mjinga wewe ni muongo haswa, ulikuwepo?
 
Eti rais wa nchi anaenda kwenye show ya msanii na kutoka midnight, mbona hapo hakutuma mwakilishi kama anavyofanya kwenye mambo mengine?!
Kwa chawa wake huwa hatumi mwakili lakini kwenye mambo ya msingi huwa anawakilishwa mara kwa mara
 
Hakuna utekelezaji wa upandaji madaraja na vyeo,ongezeko la mishahara wala nini!

Ila Mungu yupo
 
Mfumo ni ule ule, ukitaka uliyemshindisha njaa akupe mkataba mwingine wa kumshindisha njaa andaa sherehe fupi ya kuusaini yenye vyakula vya kutosha. Hakikisha kiti chake kiwe karibu na masufuria apate harufu yooote. Zoezi la kusaini liwe muda mchache baada ya kuruhusiwa kula.

May1 2025 huenda yakasahaulika yote.
Wachache watakuelewa
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Acha uchonganishi wako hapa wewe. Kwani nani ambaye hafahamu kuwa siku ya Mei Mosi Mheshimiwa Rais wetu alikuwa nje ya Nchi kuiwakilisha nchi yetu. Laini pia umeona na kushuhudia kule Marekani Marais wakihudhuria matukio kama hayo? Unafahamu mchango wa wasanii katika jamii? Unakuwa msanii anaweza kutumika katika kutangaza utalii na kuwashawishi watalii kuja hapa Nchini?

Embu angalia msanii kama JAY-Z anasikilizwa nawatu zaidi ya millioni 39 kwa mwezi ,hapo bado sijazungumzia wafuasi wake katika mitandao ya kijamii ambao wapo mamilioni kwa mamilioni Duniani kwote. Je unafikiri unafikiri ushawishi wake unaweza kulingana hata na waziri mwandamizi wa wizara gani hapa nchini akiamua kulipa msukumo Jambo fulani?

Shida yenu CHADEMA akili zenu akili zenu ni fupi sana na mnawaza karibu sana.
Acha UPOPOMA wewe.
USA na ULAYA kiujumla ni watu wanaoweza kutenganisha entertainment with political issues.
Wenzetu nje hawafananishi na kamwe hawachanganyi hivyo vitu.
JAY-Z na Kanye West walitaka kuchukua fomu za kugombea urais.
Unajua mashabiki zao waliwakosoa kwa namna gani!?
Wenzetu Ulaya na America hutofautisha burudani na siasa,hawavichanganyi hata kidogo.
France kulikua na maadhimisho ya tasnia ya filamu,je ulimuona EMMANUEL MACRON AKIHUSIKA?
Walitumwa wawakilishi wa hiyo kada ya tasnia ya filamu.
KITENDO KILICHOFANYIKA JANA NI UFALA MKUBWA,RAIS ANATAKIWA APIMIE MATUKIO YA KUHUDHURIA.

Shida yenu UVCCM mnajikuta mnajua kumbe ni empty set kichwani.
 
Ndio anatosha sana tu kwasababu ameonyesha matunda ya kiuongozi ndani ya muda mfupi sana.kwa kuleta maendeleo na kupaisha uchumi wetu. Mapato kwa mwezi kwa sasa ni zaidi ya Trilioni mbili kwa Mwezi,shule zimejengwa kila sehemu ambapo sasa wanafunzi wote wanaofaulu kidato cha kwanza wanaripoti kwa wakati mmoja. Tofauti na zamani ambapo wengine waliripoti awamu ya pili na hivyo kuchelewa kimasomo ukilinganisha na wenzao walioripoti jamnuary.

Ameongeza bajeti ya kilimo kutoka Billion mia mbili mpaka Trilioni moja na point mwaka huu.ameo gexa mikoa ambayo ilikuwa haijaungaishwa katika grid ya Taifa kama vile kigoma na Katavi amejenga na kuweka mawe ya msingi ya ujenzi wa barabara kwa kuwango cha lami ,ametoa maelfu ya ajira kwa vijana hapa nchini japo hajamaliza vijana wote waliopo mitaani lakini ameonyesha juhudi kubwa la kuwapunguzia vijana waliopo mitaani bila ajira.
Shilingi inapoteza kwa dola na Tanzania imerudi katika list ya 35 POOREST NATIONS WORLD WIDE INTERMS OF DOLLARS we unasema uchumi umepaa!?
Uchumi gani uliopaa unaouona wewe!?
Kama uchumi umepaa TANZANIA INGEKUA KATIKA LIST YA MATAIFA 35 MASIKINI WA KUTUPWA DUNIANI!?
 
Back
Top Bottom