Kwa Samia, Harmonize ni muhimu kuliko Wafanyakazi na Mei Mosi!

nilishasema humu ccm inajitahidi sana kutuonyesha kwamba hawafai kupewa madaraka tena ila sisi kila siku tunajitahidi kuwarudisha madarakani ipo siku hii nchi itaanguka vibaya sana..

mpaka sasa kinachofanya nchi iende ninkwamba watu wanaangalia familia zao zinaishi wanaamua kukaa kimya ila watu wana fukuto la kutosha na ni swala la muda tu
 
Hii
Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu 😀😀😀

Ndio maana hata katika mikutano yake yote hajawai kudokeza wala kufafanua hoja zenu. Fikiria Rais anakuwa na mipango na wasanii kuambatana naye nje ya nchi, yaani imekuwa kipaumbele chake, lakini sio kusema chochote kuhusu kikokotoo

Mnataka mfanyiwe nini ili muelewe kwamba mmepuuzwa?
Ni hoja nzito. Je huyu rais bado anatosha?
 
Acha uchonganishi wako hapa wewe. Kwani nani ambaye hafahamu kuwa siku ya Mei Mosi Mheshimiwa Rais wetu alikuwa nje ya Nchi kuiwakilisha nchi yetu. Laini pia umeona na kushuhudia kule Marekani Marais wakihudhuria matukio kama hayo? Unafahamu mchango wa wasanii katika jamii? Unakuwa msanii anaweza kutumika katika kutangaza utalii na kuwashawishi watalii kuja hapa Nchini?

Embu angalia msanii kama JAY-Z anasikilizwa nawatu zaidi ya millioni 39 kwa mwezi ,hapo bado sijazungumzia wafuasi wake katika mitandao ya kijamii ambao wapo mamilioni kwa mamilioni Duniani kwote. Je unafikiri unafikiri ushawishi wake unaweza kulingana hata na waziri mwandamizi wa wizara gani hapa nchini akiamua kulipa msukumo Jambo fulani?

Shida yenu CHADEMA akili zenu akili zenu ni fupi sana na mnawaza karibu sana.
 
Kipindi cha Msoga wasanii ndio walikuwa wanatafuta kiki kupitia rais lakini awamu ya Kizimkazi rais ndiye anatafuta kiki kupitia wasanii. Maana yake urais umekuwa rahisi hauna ushawishi tena.

Ccm haina watu zaidi ya wasakatonge. Angalia hata kurasa zao za mitandaoni utaona nje ya madaraka wanayopata kwa kuiba kura ni sawa na TLP tu.
 
Ndio anatosha sana tu kwasababu ameonyesha matunda ya kiuongozi ndani ya muda mfupi sana.kwa kuleta maendeleo na kupaisha uchumi wetu. Mapato kwa mwezi kwa sasa ni zaidi ya Trilioni mbili kwa Mwezi,shule zimejengwa kila sehemu ambapo sasa wanafunzi wote wanaofaulu kidato cha kwanza wanaripoti kwa wakati mmoja. Tofauti na zamani ambapo wengine waliripoti awamu ya pili na hivyo kuchelewa kimasomo ukilinganisha na wenzao walioripoti jamnuary.

Ameongeza bajeti ya kilimo kutoka Billion mia mbili mpaka Trilioni moja na point mwaka huu.ameo gexa mikoa ambayo ilikuwa haijaungaishwa katika grid ya Taifa kama vile kigoma na Katavi amejenga na kuweka mawe ya msingi ya ujenzi wa barabara kwa kuwango cha lami ,ametoa maelfu ya ajira kwa vijana hapa nchini japo hajamaliza vijana wote waliopo mitaani lakini ameonyesha juhudi kubwa la kuwapunguzia vijana waliopo mitaani bila ajira.
 
Ile siku ya Meimosi hewa tu..TUKUTA vibaraka wa Sisiemu

Wafanyakazi daraja la mwisho...
 
Kipindi cha Msoga wasanii ndio walikuwa wanatafuta kiki kupitia rais lakini awamu ya Kizimkazi rais ndiye anatafuta kiki kupitia wasanii. Maana yake urais umekuwa rahisi hauna ushawishi tena.

Ccm haina watu zaidi ya wasakatonge. Angalia hata kurasa zao za mitandaoni utaona nje ya madaraka wanayopata kwa kuiba kura ni sawa na TLP tu.
Acha kunifananisha CCM na hivyo vyama dhaifu visivyo na uwezo hata wa kuandaa ilani zao wala kuwa na viongozi ngazi zote wala kuandaa wagombea ubunge na urais. CCM Ni chama kiongozi kilichofanya mengi na makubwa kwa taifa letu na ndio maana kinaendelea kuaminika kwa watu.

Rais wetu mpendwa anapendwa na watu wa makundi mbalimbali na ndio maana Anaendelea kuungwa mkono na watu wengi.wakati vyama kama t huwezi ukaona mwana mziki maarufu na anayejitambua akawaunga mkono na kuwa mwanachama wake. Lakini CCM unaona namna wasanii wanavyoipenda CCM kwa hiyari ya mioyo yao.
 
Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu 😀😀😀

Ndio maana hata katika mikutano yake yote hajawai kudokeza wala kufafanua hoja zenu. Fikiria Rais anakuwa na mipango na wasanii kuambatana naye nje ya nchi, yaani imekuwa kipaumbele chake, lakini sio kusema chochote kuhusu kikokotoo

Mnataka mfanyiwe nini ili muelewe kwamba mmepuuzwa?
Kweli Aiseeee
 
Kipindi cha Msoga wasanii ndio walikuwa wanatafuta kiki kupitia rais lakini awamu ya Kizimkazi rais ndiye anatafuta kiki kupitia wasanii. Maana yake urais umekuwa rahisi hauna ushawishi tena.

Ccm haina watu zaidi ya wasakatonge. Angalia hata kurasa zao za mitandaoni utaona nje ya madaraka wanayopata kwa kuiba kura ni sawa na TLP tu.
Daaaah!!!
 
Acha uchonganishi wako hapa wewe. Kwani nani ambaye hafahamu kuwa siku ya Mei Mosi Mheshimiwa Rais wetu alikuwa nje ya Nchi kuiwakilisha nchi yetu. Laini pia umeona na kushuhudia kule Marekani Marais wakihudhuria matukio kama hayo? Unafahamu mchango wa wasanii katika jamii? Unakuwa msanii anaweza kutumika katika kutangaza utalii na kuwashawishi watalii kuja hapa Nchini?

Embu angalia msanii kama JAY-Z anasikilizwa nawatu zaidi ya millioni 39 kwa mwezi ,hapo bado sijazungumzia wafuasi wake katika mitandao ya kijamii ambao wapo mamilioni kwa mamilioni Duniani kwote. Je unafikiri unafikiri ushawishi wake unaweza kulingana hata na waziri mwandamizi wa wizara gani hapa nchini akiamua kulipa msukumo Jambo fulani?

Shida yenu CHADEMA akili zenu akili zenu ni fupi sana na mnawaza karibu sana.
Popoma katika ubora wake
 
Kuna majibu yeyote tangible alitoa pale zaidi ya kusema tunalichukua? Mbona hakutuma waziri Ndumbaro na FA wakamwakilishe kucheza mziki
Wewe na Harmonize Nani mwenye ushawishi hapa Nchini? Kwani lazima awakilishwe kila sehemu kama anayo nafasi ya kuhudhuria mwenyewe?
 
Mfumo ni ule ule, ukitaka uliyemshindisha njaa akupe mkataba mwingine wa kumshindisha njaa andaa sherehe fupi ya kuusaini yenye vyakula vya kutosha. Hakikisha kiti chake kiwe karibu na masufuria apate harufu yooote. Zoezi la kusaini liwe muda mchache baada ya kuruhusiwa kula.

May1 2025 huenda yakasahaulika yote.
 
Mlitaka huko nje aende na walimu?

Huwezi kumpangia rais mtu wa kuambatana naye.
 
Eti rais wa nchi anaenda kwenye show ya msanii na kutoka midnight, mbona hapo hakutuma mwakilishi kama anavyofanya kwenye mambo mengine?!
Kwanini asiende? Kwani unawachukuliaje wasanii wewe? Unafahamu mchango wao katika uchumi,utalii pamoja na biashara? U afahamu msanii kama Harmonize ana wafuasi wangapi wanaomfuatilia kila siku? Nani kati yako na Harmonize anaeza kuutangaza vyema utalii wetu na kuwavuta watu wakaja hapa nchini?
 
Acha uchonganishi wako hapa wewe. Kwani nani ambaye hafahamu kuwa siku ya Mei Mosi Mheshimiwa Rais wetu alikuwa nje ya Nchi kuiwakilisha nchi yetu. Laini pia umeona na kushuhudia kule Marekani Marais wakihudhuria matukio kama hayo? Unafahamu mchango wa wasanii katika jamii? Unakuwa msanii anaweza kutumika katika kutangaza utalii na kuwashawishi watalii kuja hapa Nchini?

Embu angalia msanii kama JAY-Z anasikilizwa nawatu zaidi ya millioni 39 kwa mwezi ,hapo bado sijazungumzia wafuasi wake katika mitandao ya kijamii ambao wapo mamilioni kwa mamilioni Duniani kwote. Je unafikiri unafikiri ushawishi wake unaweza kulingana hata na waziri mwandamizi wa wizara gani hapa nchini akiamua kulipa msukumo Jambo fulani?

Shida yenu CHADEMA akili zenu akili zenu ni fupi sana na mnawaza karibu sana.
Naunga mkono hoja

Hata Shetani yaani Lucifer alikuwa Msanii kabla hajatamani kukalia Kiti Cha Mungu

Ndio sababu Putin anamwita Rais wa Ukraine Shetani 😂😂😂
 
Back
Top Bottom