Salaam!
Mtu huyu wa Mungu, ameonyesha njia Katika kipindi hiki kigumu na Yuko tayari kulipa Gharama.
1.Alipotekwa Roma Mkatoliki, alipaza sauti kukemea.
2. Clouds media walipovamiwa, alitoka kukemea.
3. Alipoonewa Lissu na wananchi waliotekwa kuuwawa na kuumizwa, alitoka mbele kukemea.
Kwa sasa, huyu ndiye kiongozi wetu wananchi kuelekea Tanzania mpya tuitakayo.
Mungu mbariki ,mlinde Askofu Gwajima
MUNGU ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Karibuni 🙏