Uliona wapi utekaji unaendelea wakati wa compaign na hakuna kiongozi anayekemea,
Angekua na nia ya dhati asingejiunga na Ccm mpaka kua mbunge kwa kuiba kura za wanaishi nayeye ni wale wale opportunists.Salaam!
Mtu huyu wa Mungu, ameonyesha njia Katika kipindi hiki kigumu na Yuko tayari kulipa Gharama.
1.Alipotekwa Roma Mkatoliki, alipaza sauti kukemea.
2. Clouds media walipovamiwa, alitoka kukemea.
3. Alipoonewa Lissu na wananchi waliotekwa kuuwawa na kuumizwa, alitoka mbele kukemea.
Kwa sasa, huyu ndiye kiongozi wetu wananchi kuelekea Tanzania mpya tuitakayo.
Mungu mbariki ,mlinde Askofu Gwajima
MUNGU ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania [emoji1241]
Karibuni [emoji120]
Angekua na nia ya dhati asingejiunga na Ccm mpaka kua mbunge kwa kuiba kura za wanaishi nayeye ni wale wale opportunists.
Gwajima ni opportunist anae tafuta fursa ya kutokea tu usijipe imani nae sana wakifika bei utamuona tena mkuu, never ever trust an African politician who knew mbowe before.Sasa angejiunga na chama gani? Chama cha Dalali Mbowe?
Kwenye mabadiriko wapo wanaopigania mabadiriko ndani ya system na wapo wanao pigania mabadiriko nje ya system.
Na mara zote hua wanajuana.
Kumbu kumbu, Kabla ya Lissu kupigwa risasi Gwajima alimtahadharisha usiende Dodoma litakukuta jambo, haya ni maneno ya lema sio yangu
Sidhani kama ni sawa kubase kwwnye vyama sana, mtu mwenye nia anaonekana tu hata awe wapi. Zitto Zuberi Kabwe yupo upinzani ila anaoekana kabisa sio mpinzani, Freeman Aikaeli Mbowe alikuwa nguzo ya upinzani kumbe wala hakuwa mpinzani, he was sitting in one table with our oppressors. Haijalishi uko wapi, dhamira yako ndio kila kitu.Angekua na nia ya dhati asingejiunga na Ccm mpaka kua mbunge kwa kuiba kura za wanaishi nayeye ni wale wale opportunists.
Sidhanai kwamba tangia awali mbowe alikuwa sycophant au a stooge ya CCM alikuja kubadilika tu pale alipo ende kwenye maridhiono na Raisi na kurudi na fikira ya nusu mkate......huyu CCM ikimuahidi kufungulikwa makanisa yake asubuhi tu anakua ant people usimuamini sana kabisa.Sidhani kama ni sawa kubase kwwnye vyama sana, mtu mwenye nia anaonekana tu hata awe wapi. Zitto Zuberi Kabwe yupo upinzani ila anaoekana kabisa sio mpinzani, Freeman Aikaeli Mbowe alikuwa nguzo ya upinzani kumbe wala hakuwa mpinzani, he was sitting in one table with our oppressors. Haijalishi uko wapi, dhamira yako ndio kila kitu.
Gwajima TAPELI tu anayetumia udhaifu wa watanzania wenye imani nyepesi. Anasema yeye ni askofu wa ufufuo na uzima, ila akashindwa kumfufua Magufuli aliyempa ubunge wa KaweSalaam!
Mtu huyu wa Mungu, ameonyesha njia Katika kipindi hiki kigumu na Yuko tayari kulipa Gharama.
1.Alipotekwa Roma Mkatoliki, alipaza sauti kukemea.
2. Clouds media walipovamiwa, alitoka kukemea.
3. Alipoonewa Lissu na wananchi waliotekwa kuuwawa na kuumizwa, alitoka mbele kukemea.
Kwa sasa, huyu ndiye kiongozi wetu wananchi kuelekea Tanzania mpya tuitakayo.
Mungu mbariki ,mlinde Askofu Gwajima
MUNGU ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania πΉπΏ
Karibuni π
Lakini amekemea haya mambo hata kabla ya makanisa yake kufungwa, he must be genuine hata kama yupo ccm. Mkuu, sio kila ccm ana nia ovu.Sidhanai kwamba tangia awali mbowe alikuwa sycophant au a stooge ya CCM alikuja kubadilika tu pale alipo ende kwenye maridhiono na Raisi na kurudi na fikira ya nusu mkate......huyu CCM ikimuahidi kufungulikwa makanisa yake asubuhi tu anakua ant people usimuamini sana kabisa.
Sidhanai kwamba tangia awali mbowe alikuwa sycophant au a stooge ya CCM alikuja kubadilika tu pale alipo ende kwenye maridhiono na Raisi na kurudi na fikira ya nusu mkate......huyu CCM ikimuahidi kufungulikwa makanisa yake asubuhi tu anakua ant people usimuamini sana kabisa.
Gwajima ni opportunist anae tafuta fursa ya kutokea tu usijipe imani nae sana wakifika bei utamuona tena mkuu, never ever trust an African politician who knew mbowe before.
Mkuu π wewe maandiko Yako Huwa yana mchukiaga magufuri pia hata GWAJIMA Huwa huwezagi kuficha chuki na hasira zako period!!Gwajima TAPELI tu anayetumia udhaifu wa watanzania wenye imani nyepesi. Anasema yeye ni askofu wa ufufuo na uzima, ila akashindwa kumfufua Magufuli aliyempa ubunge wa Kawe
Kuwa ccm SI tatizo.Angekua na nia ya dhati asingejiunga na Ccm mpaka kua mbunge kwa kuiba kura za wanaishi nayeye ni wale wale opportunists.
Hivi kama kweli ni opportunist, alishindwa nini kunyamaza ili aendelee kula?Gwajima ni opportunist anae tafuta fursa ya kutokea tu usijipe imani nae sana wakifika bei utamuona tena mkuu, never ever trust an African politician who knew mbowe before.
Hii inaweza kuwa hoja ya msingi, kila mwanasiasa ni opportunist, In this case kila binadamu ni opportunist, tunakutana tu kwenye common interests, tukimaliza umuhimu unaondoka na huenda akabaki adui kwa mda.πππ
Kila mtu/kila mwanasiasa ni opportunist by nature.
Kinachofanya watu wasimame na gwajima kwa sasa kwasababu wote wana common interests.
Hii bond itakuepo mpaka hizo common interests zisiwepo mkuu.
Ni kweli tupuMkuu π wewe maandiko Yako Huwa yana mchukiaga magufuri pia hata GWAJIMA Huwa huwezagi kuficha chuki na hasira zako period!!
Je? Ndie yule tuliekuwa tukimngoja? Alietabiriwa na manabii wa bwana?!Salaam!
Mtu huyu wa Mungu, ameonyesha njia Katika kipindi hiki kigumu na Yuko tayari kulipa Gharama.
1.Alipotekwa Roma Mkatoliki, alipaza sauti kukemea.
2. Clouds media walipovamiwa, alitoka kukemea.
3. Alipoonewa Lissu na wananchi waliotekwa kuuwawa na kuumizwa, alitoka mbele kukemea.
Kwa sasa, huyu ndiye kiongozi wetu wananchi kuelekea Tanzania mpya tuitakayo.
Mungu mbariki ,mlinde Askofu Gwajima
MUNGU ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania πΉπΏ
Karibuni π
Huyu hafai hata kuongozo kundi la panya tapeli mkubwa na kibaka wa kawaida. Kama anaongoza nyumbu sawaSalaam!