Siwafundishi kuhusu siasa ila ni bora kama chama kilichokuwa na kinachoishilia katika ushawishi wake kwa wananchi! Iko haja viongozi wandamizi kuketi ili kupiga hesabu za chama kinapashwa kiwe na mwelekeo upi!
Ni ukweli kabisa na kila mwenye jicho la mwewe aliyeko Chadema! Hatazami akaona kama ilivyokuwa jana! Hatazami akaelewa kifuatacho! Wote wenye Maono hayo hawaoni sawasawa hatima ya Chadema na mwendelezo wake!
Ushauri wangu ni kwamba! Dhana ya chama kuwa ndiyo kikubwa kuliko mtu ibaki pale pale, lakini pia kitu kingine kisisahaulike kwamba, kuwa na mtu mwenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya chama ni hitimisho la ushindi katika chama!
Tundu Lissu, ni mtu angalau mwenye ushawishi kulikoni wote ndani ya Chadema akifuatiwa na M/kiti wa maisha ambapo kwa sasa naye amekuwa mlevi na haelewi chama kinaelekea wapi!
Watu hawa wawili kati ya Tundu Lissu na Mbowe ni angalau wanaouwezo hata wa kukipasua chama ikiwa hawataelewana na mmoja ataondoka na watu wa kabila lake pekee!
Hoja yangu ni kwamba, Chadema waache sasa kuweka tumaini kubwa kwa Lissu na badala yake watafute mtu ambaye anakubalika angalau kwa kiasi kwa wanachama na kwa wananchi kwa ujumla na wao wamjenge kisiasa ili kuikabili ccm ya majizi!
Mh Lissu kwa sasa hana mwelekeo na hatabiriki iwapo kweli etaendelea kuishi ktk nchi hii ngumu ya watu wasiojua uchungu wa nchi yao!
Yangu ni hayo!