sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Kwa kuandika ukweli? Silipwi chochote.Umelipwa bei gani
Tumpe hongera d voice maana kufanya vizuri mbele ya mkongwe kwenye game ni jambo limekustua hata wewe.Hongera kwako.
Msanii mwenye album namba moja kwa sasa. Kiboko ya madoa sugu.D voice ndiye nani ?
Dg yupo vizuriTumpe hongera d voice maana kufanya vizuri mbele ya mkongwe kwenye game ni jambo limekustua hata wewe.
Mwamba huyu hapaaHuyo D voice ni Ke au Me?,na je ni nani huko Mjini Daslam
Namshukuru Mungu kuwa vijana wetu wanatrend.D Voice jini ametoa album yake ambayo inafanya vizuri sana sokoni mpaka sasa YouTube ndio ipo juu kwa kusikilizwa.
Harmonize nae kaachia album yake lakini pamoja na kiki zake za kupigana uwanjani na kwenda msimbazi kufanya show katikati ya barabara ila album yake imeshindwa kufurukuta mbele ya D Voice.
Mwanzo mzuri mdogo wetu D Voice watanzania wana bahati sana wewe kuzaliwa hii nchi una vingi vya kuofa.
Ni kweli mkuu nimeonesha mshangao tu kwa kinda wetu huyu kumkalisha nguli. Ila si kwa nia mbaya dogo bado mdogo ana siku 8 toka atambulishwe si vibaya kumpa maua yakeNamshukuru Mungu kuwa vijana wetu wanatrend.
Tusiwagombanishe bali kila mtu ashinde mechi zake
🤣🤣 safi mkuu.Ni kweli mkuu nimeonesha mshangao tu kwa kinda wetu huyu kumkalisha nguli. Ila si kwa nia mbaya dogo bado mdogo ana siku 8 toka atambulishwe si vibaya kumpa maua yake
Isee wewe ni kama mm sijaelewa kabisa nyimbo zake nikaona kama zina watu maalum wa kusikiliza..Nimejaribu kusikiliza nyimbo zake lakini nimeshindwa kuzielewa huenda Umri nao unachangia.
Wazungu wanasema it's not Grahams' cup of tea
All in all tuwape hongera Management yake, kuweza kutuletea msanii mpya sokoni
Natumai kuna siku nami nitaguswa na wimbo wake hata mmoja