sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
- #41
Ndio msanii Wasafi walitumia pesa nyingi na muda mrefu kumfikisha mjini wakati huo mnamponda hana lolote. Leo mpo proud nae anawapoza maumivu ya bakora za WCB 😂😂Harmonize ndiyo best sign ever pale wasafi hakuna tena kama yeye
Wasafi siku zote wanaona nyinyi macho yenu hayafiki. Endelea kutoa machozi 😂