sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
- #61
Usiwe na wasiwasi utafikiwa tu ungekua Instagram au tiktok ungeshamskia au ungekuwa unaenda clubs ungeshamskia ata hivyo ajamaliza wiki mbili toka aachie album subiri utafikiwa jiandae kumskia sana tena kwa miaka mingiMimi sijasikia nyimbo yake hata Moja ikipigwa popote pale.