Kwa sasa D Voice anafanya vizuri kimuziki sokoni kuliko Harmonize. Anaburuza kwenye mauzo ya album

Kwa sasa D Voice anafanya vizuri kimuziki sokoni kuliko Harmonize. Anaburuza kwenye mauzo ya album

Yani katika msanii ambaye atawapa tabu WCB kumpamba na kumpa promo ni huyu hadi sasa sijasikia wala kuona hit song kutoka kwake…

Kwakweli no one can tell ni msanii wa namna gani ..lets wait and see…
 
Yani katika msanii ambaye atawapa tabu WCB kumpamba na kumpa promo ni huyu hadi sasa sijasikia wala kuona hit song kutoka kwake…

Kwakweli no one can tell ni msanii wa namna gani ..lets wait and see…
Ni maoni yaliyotolewa kwa kila msanii mpya wa WCB and the rest is history
 
Hapo tumepigwa,

We miso misondo, umepigaje hapo
IMG-20231126-WA0000.jpg

Hizi ni kazi za watu lazima mzipe heshima. Msanii mliyepigwa anaweka video yake ya kwanza number 1 trending siku 8 tu toka atambulishwe.
 
Usimlinganishe Harmonize na vitu vya kijinga. Huyo dogo tukiacha unafiki na makundi hana hata robo ya kipaji Harmonize alichonacho sii tu kwa sasa toka Harmonize anatoa bado.

Toka dabiliusibi wanatambulisha wasanii nadhan queendalin ndio anauwezo wa chini kabisa halafu anafata huyo

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
 
Hamna msanii hapo!
Hivi huwa hamuoni aibu kusifia ujinga?
IMG_20231127_195115.jpg

Kula chuma icho 😂😂😂

Pole sana kwa maumivu ila mbona mapema sana ndio kwanza mpo kwenye marination, vp mapishi yakianza? 😂
 
Back
Top Bottom