sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
-
- #41
Ndio msanii Wasafi walitumia pesa nyingi na muda mrefu kumfikisha mjini wakati huo mnamponda hana lolote. Leo mpo proud nae anawapoza maumivu ya bakora za WCB 😂😂Harmonize ndiyo best sign ever pale wasafi hakuna tena kama yeye
Una upeo mdogo sanaWana promote yale mambo yao hawa
Ova
Umeskia dogo sinza pazuriAiyola peke yake ilitosha kumtambulisha harmonize na ulikua ni wimbo mkubwa kabisa.
Huyu dogo album nzima lakini bado hakuna wimbo wenyewe unaweza kuuweka sawa na aiyola. Mpe harmo heshima yake hata kama wewe ni team WCB
Sasa kwani harmo sio WCB? Huna unachokijuaAiyola peke yake ilitosha kumtambulisha harmonize na ulikua ni wimbo mkubwa kabisa.
Huyu dogo album nzima lakini bado hakuna wimbo wenyewe unaweza kuuweka sawa na aiyola. Mpe harmo heshima yake hata kama wewe ni team WCB
Endelea kusikiliza album bora ya mwaka.Dogo Yuko poa nimesiikiliza nyimbo zake 2 alizoimba na Zuchu SI haba.
Halafu sijaelewa hii chart Tanzania, wanaonyesha wasanii wa Tanzania tu au hata wa nje ya Tanzania?View attachment 2826980
Nguvu itatumika kubwa yani ile utatoa hutoi? 😂😂 Mwisho wa siku lazima uwekwe
kaka sinza pazuri ni wiki sasa kila napokuja messenger kwako nikikutumia ujumbe haufiki hata sielwiEndelea kusikiliza album bora ya mwaka.
Messenger unamaanisha Facebook au vp sijakuelewakaka sinza pazuri ni wiki sasa kila napokuja messenger kwako nikikutumia ujumbe haufiki hata sielwi
Unabishana na takwimu niletee msimamo wa YouTube au boom play au audiomack kama harmonize ajakalishwa na d voice nakurushia laki mbili on the spotSio Tanzanite tu hata ujinga umezaliwa Tanzania ndio maana tatizo la afya ya akili ni kubwa kuliko zao la mahindi, tuseme tu na wewe ni miongoni mwa hilo tatizo
Unabishana na takwimu niletee msimamo wa YouTube au boom play au audiomack kama harmonize ajakalishwa na d voice nakurushia laki mbili on the spot
Sikiliza album acha kukunja unajinyima burudani nzuri sana sababu ya chuki tu na roho mbaya.Huko ukikotaja si ndio makazi ya hao Watanzania? Watu si mnazo timu zenu mkishapewa vilaki mnajaza mpaka status zenu na ndio maana hata wewe uko hapa kupiga gitaa na kesho urudishe taarifa baada ya kutuhamasisha tukaangalie usanii wa msanii wenu ili mje haadae mseme kuna views kibao.
Tuletee data za harmonize YouTube,boomplay,audiomark kisha tukuonesha anayeongoza huko. Acha upopomaHuko ukikotaja si ndio makazi ya hao Watanzania? Watu si mnazo timu zenu mkishapewa vilaki mnajaza mpaka status zenu na ndio maana hata wewe uko hapa kupiga gitaa na kesho urudishe taarifa baada ya kutuhamasisha tukaangalie usanii wa msanii wenu ili mje haadae mseme kuna views kibao.
Tuletee data za harmonize YouTube,boomplay,audiomark kisha tukuonesha anayeongoza huko. Acha upopoma