sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
-
- #61
Usiwe na wasiwasi utafikiwa tu ungekua Instagram au tiktok ungeshamskia au ungekuwa unaenda clubs ungeshamskia ata hivyo ajamaliza wiki mbili toka aachie album subiri utafikiwa jiandae kumskia sana tena kwa miaka mingiMimi sijasikia nyimbo yake hata Moja ikipigwa popote pale.
KOMA we pumbavu zakoD Voice jini ametoa album yake ambayo inafanya vizuri sana sokoni mpaka sasa YouTube ndio ipo juu kwa kusikilizwa.
Harmonize naye kaachia album yake lakini pamoja na kiki zake za kupigana uwanjani na kwenda msimbazi kufanya show katikati ya barabara ila album yake imeshindwa kufurukuta mbele ya D Voice.
Mwanzo mzuri mdogo wetu D Voice watanzania wana bahati sana wewe kuzaliwa hii nchi una vingi vya kuofa.
Akikujibu nistueD voice ndiye nani ?
Huyo dogo ana hit song ngapi?Ni kweli mkuu nimeonesha mshangao tu kwa kinda wetu huyu kumkalisha nguli. Ila si kwa nia mbaya dogo bado mdogo ana siku 8 toka atambulishwe si vibaya kumpa maua yake
Tumekuskia da esmaD Voice jini ametoa album yake ambayo inafanya vizuri sana sokoni mpaka sasa YouTube ndio ipo juu kwa kusikilizwa.
Harmonize naye kaachia album yake lakini pamoja na kiki zake za kupigana uwanjani na kwenda msimbazi kufanya show katikati ya barabara ila album yake imeshindwa kufurukuta mbele ya D Voice.
Mwanzo mzuri mdogo wetu D Voice watanzania wana bahati sana wewe kuzaliwa hii nchi una vingi vya kuofa.
Hongera zenuD Voice jini ametoa album yake ambayo inafanya vizuri sana sokoni mpaka sasa YouTube ndio ipo juu kwa kusikilizwa.