johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Kimataifa zaidi!Ohh masikini mataga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimataifa zaidi!Ohh masikini mataga.
Nachojua mimi Geita ni mkoa una wilaya zake kama hizo chato,geita vijijini geita mji mbogwe nyangwale sasa hiyo wilaya ya geita ni ipi mkuu?Ajabu wilaya ya Geita yenye madini(mgodi mkubwa wa 2 barani Afrika) imeachwa/imesahaulika. Si umeme(REA), Wakati wilaya za Mbogwe, Bukombe, Nyang'wale, Chato vijiji vyake vikiwa na coverage ya 90%+ ya umeme, wilaya ya Geita hata 50% haijafikiwa. Sijui shida ni nini.
Njoo hapa ukienda Gamboshi, utaelewa tu!Nyie mnachangia nini?
Acha ushamba wa kisiasa.Oh masikini mataga.
Wee mburula Unazungumzia Geita au Chato? Maana watu mnaificha Chato chini ya mwanvuli wa Geita mjini.Geita haijaumbwa ili iwe mashimo baada ya kuchimba madini bali inastahili maendeleo kama mikoa mingine.
Nimeona niseme hili maana ujenzi wa kimaendeleo wa uwanja wa ndege na hospitali ya Rufaa unawanyima usingizi Chadema ambao wamewahi kuwa na wabunge makini kutoka kanda ya ziwa.
Geita na mikoa mingine iliyosahaulika ni lazima ikumbukwe sasa kama kahawa ilivyoinufaisha Kilimanjaro.
Kupanga ni kuchagua.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani Chato iko Kilimanjaro?Wee mburula Unazungumzia Geita au Chato? Maana watu mnaificha Chato chini ya mwanvuli wa Geita mjini.
Hiyo si ndio Geita mkuu?Ajabu wilaya ya Geita yenye madini(mgodi mkubwa wa 2 barani Afrika) imeachwa/imesahaulika. Si umeme(REA), Wakati wilaya za Mbogwe, Bukombe, Nyang'wale, Chato vijiji vyake vikiwa na coverage ya 90%+ ya umeme, wilaya ya Geita hata 50% haijafikiwa. Sijui shida ni nini.
Chato ni kijijini kwa Magufuli ambako uwekezaji wa rasilimali za taifa hauendani na hali halisi ya kijiji hicho.Kwani Chato iko Kilimanjaro?
Hakuna wilaya inayoitwa Geita vijijini, bali wilaya ya Geita.Nachojua mimi Geita ni mkoa una wilaya zake kama hizo chato,geita vijijini geita mji mbogwe nyangwale sasa hiyo wilaya ya geita ni ipi mkuu?
Kiufupi namaanisha wilaya ambayo ndipo yalipo makao makuu ya mkoa.Hiyo si ndio Geita mkuu?
Au wewe unataka kusema Geita ni ipi
Mataga mdogo sana kama wewe huwezi kuelewa.Acha ushamba wa kisiasa.
Kuna kipengele kipi cha katiba kimekiukwa?Kuna haja ya kujengwa ikulu ya milele kwenye eneo hilo ili kuwakata ngebe hao Chadema , halafu kufanya mambo katika nchi kwa kuangalia yanayosemwa na chadema badala ya kufuata katiba ya nchi ni jambo la Aibu ya kiwango cha kijinga sana .
Aiseee!Ni dharau Sana kwao kuwa na mataa ilitakiwa wawe na flyover Ili kuondoa msongamano
Nakubaliana nawe kwa asilimia kubwa, lakini kujenga uwanja wa ndege wa international- mmmm sijui kama utawasaidia wana Geita.Geita haijaumbwa ili iwe mashimo baada ya kuchimba madini bali inastahili maendeleo kama mikoa mingine.
Nimeona niseme hili maana ujenzi wa kimaendeleo wa uwanja wa ndege na hospitali ya Rufaa unawanyima usingizi Chadema ambao wamewahi kuwa na wabunge makini kutoka kanda ya ziwa.
Geita na mikoa mingine iliyosahaulika ni lazima ikumbukwe sasa kama kahawa ilivyoinufaisha Kilimanjaro.
Kupanga ni kuchagua.
Maendeleo hayana vyama!
Mimi sikubaliani na yanayoendelea Geita lakini Hospital ni maendeleo! Sijui wewe unaangalia kwa jicho lipi?! Sio inachangia ajira tu bali pia inavutia uwezekaji!Yaani mmeshindwa kutumia madini yaliyopo hapo kuwapekea hao wananchi maendeleo sasa mnataka kupeleka maendeleo kwa kuwajengea hospitali?!
CCM ni mzigo kwa hili taifa.