Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
ukiwa na mindset ya hivo ni ngumu kupata kazi chiefHakuna kozi isiyo na ajira ila ajira zipo kwa wenye connection.
Talk is cheap.Ingia jichanganye mtaani mkuu, kwa sasa kupata ajira rasmi ni kipengele ila ukijichanganya mishe zitaenda. Usiogope kuwa mdogo(kuanzia chini).
Kwa nini madalali wa la saba waweze kushika kazi na kuzisimamia wakati graduates wenye taaluma mpo.
hii ukipata kazi umeulaAu mtu anasoma international relations cjui anataka ali relate na nani
Basi lala mkuu! Maana huwa tunasaidiana hivi kuamshana kifikra, hakuna wa kukushika mkono ila wewe mwenyewe.Talk is cheap.
Heri yetu sisi huku tunasfisha mikundu ya wazee hatuna degree lakini tunapata kwa sasa 80k madafMaths, physics, chemistry?
Civil engineering?
Kwamba havina soko?
Najiandaa mkuu na mm mwakani mwez wa sita nitalifatilia hiliHeri yetu sisi huku tunasfisha mikundu ya wazee hatuna degree lakini tunapata kwa sasa 80k madaf
Kwel nimeamin wew ni sexless. Suala la nchi kuwa na mito na maziwa linahusiana vip na mtu aliyesoma sociology?Mkuu hakuna degree nzuri au mbaya. Hata medicine wapo kitaa wanaendesha bodaboda.
Tatizo kubwa in lipo kwenye mtazamo (mindset) wa wasomi. Wengi mmejengwa na kuandaliwa kupewa ajira. Hapa ndipo penye kosa kubwa.
Lengo la degree siyo kuajiriwa kwenye fani uliyosomea kama mleta mada unavyotaka kutuaminisha. Lengo la degree ni kupanua mawanda ya kufikiri ili msomi aweze kuyakabili mazingira yake kwa namna toauti na asiyesoma.
Kwahiyo ktk nchi kama Tanzania iliyobarikiwa ardhi kubwa yenye rutuba na imezungukwa na mito, maziwa na bahati ni aibu kwa wasomi kuleta mada za kulalamikikia kukosa kuajiriwa. Mlienda chuo kudanga, kubet na kuvuta shisha badala ya kujielimisha. Shubamiti, ndengeleki ninyi!
Erin acha mambo yakoAcha mambo yako, we si nimesikia ni mama mchungaji🤣
Kabisa kabisa..na hii ni kwasababu vyuo haviko serious juu ya hatima ya wanafunzi.Enzi nasoma udsm B.A Education nilikua na masomo ya Linguistics & Literature. Kuna washikaji zangu nilikua na share nao course za linguistics wao wakisoma B.A Language studies, nilikua najiuliza hawa jamaa kwa nini wasisome tu education wakatembea tu na masomo ya Linguistics & Literature na ajira ni uhakika mbona ni kitu kile kile na ninachosoma mm. Sasa miaka imeenda utakuka mwingine yuko anapgwa tu maisha shida amezitaka mwenyewe.
Pole brazaUngekuwa mhitimu wa fani yoyote ya uhandisi ungeamini vizuri mbona ?
Ungekula msoto na kupata first hand experience soon baada ya kugraduate
Hali ni mbaya kwa fani zote ,ni kama soko la ajira lipo kwenye" standstill "mode
Mimi ni mhandisi wa fani moja wapo ya uhandisi ,ila ninafanya issue tofauti kabisa na fani yangu
Hao wanao enda Israel, Wanakwenda kufanyishwa kazi mashambani kama vibarua cheap labourers, Wakidanganywa kwamba wanaenda field.Hivi mfano wa karibu. Watu wanaopelekwa Israel,kujifunza mambo ya kilimo,
1. Hawa watu hawaendi tu hivi hivi. Wanalipwa.
2. Watu hawa hawa, ukija kuangalia,si kwamba kuna vigezo vya kwenda huko,bali connection tu. Ndugu yangu akaonje hela ya serikali.
3. Wakirudi, nani anajua wanakopotelea?
4. Sasa kama wamepelekwa kujiendeleza, af hawana mchango wowote, unategemea huyu huyu ambaye hajafika hata Dar atadai ana uwezo wa kuendelea kilimo?
5. Kwa nini hao wa Israel wasiletwe wakawafikie wenye uhitaji?
6. Ikiwa mifumo ya kiAfrika bado ya kimagumashi,ni ngumu sana.
7. Leo hii Israel inadai inahitaji nguvu kazi kutoka Afrika. Hasa kwenye sekta ya kilimo. Wanalima wakauze nje.
Ni kwamba hayo masoko wanayouza,hayapokei mazao kutoka Afrika?
Je, Israel ina ardhi kubwa na nzuli kuliko ya TZ?
Mfumo wa maisha ndo ulivyo bila kushikana mkono, ni ngumu. Sasa wenye nafasi za kuwapa maisha vijana, wasipotaka, miaka ijayo mtakuta vibaka ni wasomi. Sasa hivi wanaojiuza si wasomi?
Broo mbona umekuwa mkali hivyo?Degree ni usenge,
Sasa kuna haja gani ya kuwapeleka na ni wazi kila wakienda,hawaleti mabadiliko kwenye hiyo sekta?Hao wanao enda Israel, Wanakwenda kufanyishwa kazi mashambani kama vibarua cheap labourers, Wakidanganywa kwamba wanaenda field.
Dah! Umeandika Kwa uchungu sana Mkuu!Hivi mfano wa karibu. Watu wanaopelekwa Israel,kujifunza mambo ya kilimo,
1. Hawa watu hawaendi tu hivi hivi. Wanalipwa.
2. Watu hawa hawa, ukija kuangalia,si kwamba kuna vigezo vya kwenda huko,bali connection tu. Ndugu yangu akaonje hela ya serikali.
3. Wakirudi, nani anajua wanakopotelea?
4. Sasa kama wamepelekwa kujiendeleza, af hawana mchango wowote, unategemea huyu huyu ambaye hajafika hata Dar atadai ana uwezo wa kuendelea kilimo?
5. Kwa nini hao wa Israel wasiletwe wakawafikie wenye uhitaji?
6. Ikiwa mifumo ya kiAfrika bado ya kimagumashi,ni ngumu sana.
7. Leo hii Israel inadai inahitaji nguvu kazi kutoka Afrika. Hasa kwenye sekta ya kilimo. Wanalima wakauze nje.
Ni kwamba hayo masoko wanayouza,hayapokei mazao kutoka Afrika?
Je, Israel ina ardhi kubwa na nzuli kuliko ya TZ?
Mfumo wa maisha ndo ulivyo bila kushikana mkono, ni ngumu. Sasa wenye nafasi za kuwapa maisha vijana, wasipotaka, miaka ijayo mtakuta vibaka ni wasomi. Sasa hivi wanaojiuza si wasomi?
Degree ni usenge sana tunachezewa tu akili Ila ukweli ndio huo ni usenge tu,Broo mbona umekuwa mkali hivyo?
Salamalekoilm pekee imfaayo mwanadamu ni Quran
Kuna Prof. Mmoja R.I.P tukiwa Darasani UDSM pale nikiwa mwaka wa pili, nilimuuliza kuwa sisi wanafunzi wako tunalalamikia mfumo, na wewe unalalamikia mfumo tena unawalalamikia vijana uliowafundisha ambao Leo ni mawaziri; je nani wa kutusaidia?Ndo maana hatufai kumlaum mtu. Mwalimu anaekufundisha hizo Maths na Physics,mwenyewe ukute hata Airport hajawahi kuiona. Huyo huyo,ndo anaekuaminisha kuwa unaenda kuwa rubani miaka 6 au kumi badae. Akili ya kujiuluza kwa nini yeye hajaenda kuwa rubani,ndo zero. Unategemea nini?
Sasa mwisho wa siku unaamua usepe kijijini ukawaache walime, vijana wanajenga,wanaoa,unabaki mjini kuwa tapeli
ilm pekee imfaayo mwanadamu ni Quran