Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Baada ya vilio vingi kuhusu mabinti zetu kuwatenda vibaya vijana wetu
baadhi kufunga harusi Leo na baada ya wiki ndani hakukaliki Kama sio kukutana mahakamani kupeana taraka
Katika mizunguko yangu nimekuja kugundua Kuna hazina ya mabinti wema nje ya makanisa,misikiti,majumbani,vyuoni na mashuleni
Na mabinti wenyewe ni Hawa wafuatao
1) Bar maid
Hawa niwanawake ambao hupitia changamoto nyingi kwenye maisha yao
Mishahara yao wakati mwingine huwa matumizi ya miili yao au kuuzwa na waajiri wao
Wengi hujikuta katika mazingila hayo kwa kuto kupenda au kushawishiwa na marafiki
Au madarali wa Wana wake na huja kushtuka Wana fanyishwa kazi hizo na hawana jinsi ya kujitoa hapo kufuatana mazingila magumu wanayo wekewa na wamiliki wao
Binti wa mwanza anaweza kuambiwa kwamba Kuna kazi mbeya ya kuuza hotel akatumiwa nauli na huyo aliye mtaftia hiyo kazi na akafika mbeya
Cha ajabu anafika mbeya anajikuta anavalishwa nguo za bar akikataa hata kula na Ana weza kufukuzwa na asijue pa kwenda kwa kutishwa kufanyiwa chochote hivyo hujikuta Hana jinsi
Wana wake Hawa Hukutana na wanaume wa kila aina na huishi nao kufutana na Tabia zao na huachana nao sarama
Niwanawake ambao wengi wao wanakuwa wamesha pitia kila aina ya starehe kwahiyo sio wageni wa starehe Bali wao huwa wageni wa kumpata mtu au watu wanaonwapend kweli
Na pia Wana nidhamu ya Hari ya juu niwa skivu wavumilivu na watiifu kwa wateja zao ambao ni wanaume kwa kiasi kikubwa
Basi Kama uta bahatika.kumpata bar maid ambaye anashida na ndoa naludia tena mwenye shida na ndoa
basi nenda nae hospital pimeni afya mwowe huji kujutia kwenye maisha yako
2) Wahudumu wa hotelini
Hawa niwana wake wenye nizamu huamka hasubuhi na mapema kuwa andalia wateja wao mazingira mazuri
Wana rugha Safi na sarama niwa kalimu na wasikivu pia wanajua kuya fanya Mambo makubwa kuwa madogo
Kama uta bahatika kukutana nae mwenye shida na ndoa baada ya kufuata taratibu sahihi weka ndani utakuja unishukuru
3) Wahudumu/wasaidizi migahawani
Hawa niwana wake ambao hulipwa mpaka 2000 kwa siku Kama sio 5000
Hawa niwana wake ambao huwaomba Dada ndugu na marafiki walioko mjini connections za kazi
Baadae huitwa nahao watu lakini baada ya kufika mjini hujikuta wanaona ni Bora maisha ya vijijini waliko toka kuliko maisha ya kazi zao
Wanapitia maisha magumu Sana wakati.mwingine huuzwa na waajiri wao/maboss zao kwa wanaume/wateja zao kitu ambacho sio ridhaa yao
Kama uta bahatika kumpata mwenye shida ya kuolewa katika kundi hili fuata taratibu zote za msingi weka ndani dunia utaiona paradiso
Mwisho nikuombe ndugu mwana jf kwamba ukimkuta mtoto wakike bar,migahawani, hotelini,au popote pale unapo ona au kudhani Pana tweza utu wake
Elewa yupo pale sio kwa sababu anapenda kuwa pale Ila nikwasababu amekosa mtu/maraika wa kumtoa pale alipo
Na mtu/maraika huyo sio mtu mwingine unaweza kuwa niwewe mwenyewe uliye mkuta hapo alipo
Hivyo Basi.
msaidie kifedha hata Kama humtumii au huji kumtumia
msaidie kima wazo hata Kama huna mpango Wala ndoto nae
tafta mda wa kuzungumza nae ili angalau usikilize shida zake au changa Moto zake badara ya kujiangalia wewe binafsi tu
Nina Imani utajifunza mengi utaheshimu kila mwanamke aliyepo mbele yako
Maisha nifumbo/kesho nifumbo
Mwisho
Kabla huja changia kaa na mabinti tofauti tofauti wanaopatikana mazingira Kama hayo hapo juu uwaulize ilikuwaje wakafika walipo?
Nina Imani utakuja na mazito hapa.