Kwa sasa, huenda hawa wakawa ndio Wanawake bora wa kuoa

Kwa sasa, huenda hawa wakawa ndio Wanawake bora wa kuoa

Usijaribu wauza baa...kuna mtu namjua alijutaa...
Hao hata kanisani na msikitini wapo
Ni tabia na hurka za kuzaliwa nazo tu na kingine hakuna mwanamke anaye penda kufanya kazi za bar sema nimaisha na mazingira tu mkuu
 
Ushaambiwa mwanamke bora anatoka kwa mungu sasa wewe jichanganye🤣🤣🤣
Sina neno we nenda kamuulize baba mchungaji Hali ikoje huko kwenye Mambo ya upata Nishi?

Napia tembelea mahakamani utaona wanavyo ng'ang'ana kupeana makaratasi ya Kila mtu aangalie yakwake mkuu😂😂😂
 
Wenzako walioa ma house girl baada ya kuwaona wanajituma kutunza nyumba,kawaulize kilichowapata baada ya house girl kuwa boss!!
House girls unawasingizia ingawa Huwa wamejengewa roho ya ukatili kama walikuwa Kwa mabosi wasio n utu.

So lazima umchukue maelezo mapema
 
A
Mambo Kama haya wanayo Hawa tunao waits wa kuwaowa

Fikilia mwanamke alikuwa anafanya kazi ya usaidizi wa mgahawa analipwa 2000 toka hasubuhi mpaka jioni

Unakuja ku mwoa unamwachia kila siku 10000

Atakudharau kweli ili aludi aliko toka mkuu?
Ao ndo sumu kabisa,Kwanza Wana mabwana kama utitiri
 
Back
Top Bottom