NdioKwa maana hiyo una maana kuwa atakuwa Ana fanya hivyo kwasababu anapenda kufanya hivyo sindio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioKwa maana hiyo una maana kuwa atakuwa Ana fanya hivyo kwasababu anapenda kufanya hivyo sindio?
Yaah ukitulia lazima utamwona mkuu wapoWanawake wa baa jamani hapana. Mimi nakunywa Sana bia kwenye hizo baa nawajua. Labda ubahatike katika 100 upate mmoja
Umeanza lini kuwa Singo andi redi tu mingo Mjukuu??Babu wa hovyo kwani unamuongelea nani? Halafu mimi niko singo, usiniharibie. Mpare gani kwani unamuongelea🤣🤣🤣
Kwa Nini umwacheee!Mleta mada tumwambie au tumuache kwanza?
Huu wimbo umekaaga kikudaa🤣🤣Umeanza lini kuwa Singo andi redi tu mingo Mjukuu??
Usinitie viwashawishi Wazee tukapokea Posa nyingine ya yule Kijana wa Dubai aliyetaka kukuoa last February 😜
Hebu sikiliza ule wimbo wa "Huyo ni Chaguo lako" kama upo karibu na DJ mwambie auweke kwenye "Repeat Mode" 🤗
Hahaha.................. kwahiyo haujaupenda Mjukuu?Huu wimbo umekaaga kikudaa🤣🤣
Babu yule mpare mbahilii balaa, atanitoa roho. Sidhani kama alikuwa chaguo langu🙆♀️🙆♀️Hahaha.................. kwahiyo haujaupenda Mjukuu?
Basi sikiliza verse ya kwanza tu pamoja na kiitikio chake 😜🏃🏃🏃🏃
Hahaha.................kwa huyo Mpare hatukukulazimisha Mjukuu, ulituambia eti yeye ni Mpare wa kwanza kukupa password ya akaunti yake ya BenkiBabu yule mpare mbahilii balaa, atanitoa roho. Sidhani kama alikuwa chaguo langu🙆♀️🙆♀️
Hebu kumbukeni vizuri, hamkunilazimishia kweli?
Babu badili wimbo tafadhali😭😭😭😭Hahaha.................kwa huyo Mpare hatukukulazimisha Mjukuu, ulituambia eti yeye ni Mpare wa kwanza kukupa password ya akaunti yake ya Benki
Kwahiyo endelea kuburudika na wimbo wa "Huyo ni Chaguo lako" tu 🤗
Pole Mjukuu....😅Babu badili wimbo tafadhali😭😭😭😭
Basi babu tuachane na haya mambo ya dedication tu😄Pole Mjukuu....😅
Basi sikiliza wimbo wa "I love you" ulioimbwa na Kwaya ya Mt. Theresia, maana huo wimbo nakumbuka Siku ya harusi yenu na Mpare uliucheza sana 🤗
Hii ni sawa na kumuoa Asha zungu af useme amefanya kila starehe ameamua kutulia😅😅Baada ya vilio vingi kuhusu mabinti zetu kuwatenda vibaya vijana wetu
baadhi kufunga harusi Leo na baada ya wiki ndani hakukaliki Kama sio kukutana mahakamani kupeana taraka
Katika mizunguko yangu nimekuja kugundua Kuna hazina ya mabinti wema nje ya makanisa,misikiti,majumbani,vyuoni na mashuleni
Na mabinti wenyewe ni Hawa wafuatao
1) Bar maid
Hawa niwanawake ambao hupitia changamoto nyingi kwenye maisha yao
Mishahara yao wakati mwingine huwa matumizi ya miili yao au kuuzwa na waajiri wao
Wengi hujikuta katika mazingila hayo kwa kuto kupenda au kushawishiwa na marafiki
Au madarali wa Wana wake na huja kushtuka Wana fanyishwa kazi hizo na hawana jinsi ya kujitoa hapo kufuatana mazingila magumu wanayo wekewa na wamiliki wao
Binti wa mwanza anaweza kuambiwa kwamba Kuna kazi mbeya ya kuuza hotel akatumiwa nauli na huyo aliye mtaftia hiyo kazi na akafika mbeya
Cha ajabu anafika mbeya anajikuta anavalishwa nguo za bar akikataa hata kula na Ana weza kufukuzwa na asijue pa kwenda kwa kutishwa kufanyiwa chochote hivyo hujikuta Hana jinsi
Wana wake Hawa Hukutana na wanaume wa kila aina na huishi nao kufutana na Tabia zao na huachana nao sarama
Niwanawake ambao wengi wao wanakuwa wamesha pitia kila aina ya starehe kwahiyo sio wageni wa starehe Bali wao huwa wageni wa kumpata mtu au watu wanaonwapend kweli
Na pia Wana nidhamu ya Hari ya juu niwa skivu wavumilivu na watiifu kwa wateja zao ambao ni wanaume kwa kiasi kikubwa
Basi Kama uta bahatika.kumpata bar maid ambaye anashida na ndoa naludia tena mwenye shida na ndoa
basi nenda nae hospital pimeni afya mwowe huji kujutia kwenye maisha yako
2) Wahudumu wa hotelini
Hawa niwana wake wenye nizamu huamka hasubuhi na mapema kuwa andalia wateja wao mazingira mazuri
Wana rugha Safi na sarama niwa kalimu na wasikivu pia wanajua kuya fanya Mambo makubwa kuwa madogo
Kama uta bahatika kukutana nae mwenye shida na ndoa baada ya kufuata taratibu sahihi weka ndani utakuja unishukuru
3) Wahudumu/wasaidizi migahawani
Hawa niwana wake ambao hulipwa mpaka 2000 kwa siku Kama sio 5000
Hawa niwana wake ambao huwaomba Dada ndugu na marafiki walioko mjini connections za kazi
Baadae huitwa nahao watu lakini baada ya kufika mjini hujikuta wanaona ni Bora maisha ya vijijini waliko toka kuliko maisha ya kazi zao
Wanapitia maisha magumu Sana wakati.mwingine huuzwa na waajiri wao/maboss zao kwa wanaume/wateja zao kitu ambacho sio ridhaa yao
Kama uta bahatika kumpata mwenye shida ya kuolewa katika kundi hili fuata taratibu zote za msingi weka ndani dunia utaiona paradiso
Mwisho nikuombe ndugu mwana jf kwamba ukimkuta mtoto wakike bar,migahawani, hotelini,au popote pale unapo ona au kudhani Pana tweza utu wake
Elewa yupo pale sio kwa sababu anapenda kuwa pale Ila nikwasababu amekosa mtu/maraika wa kumtoa pale alipo
Na mtu/maraika huyo sio mtu mwingine unaweza kuwa niwewe mwenyewe uliye mkuta hapo alipo
Hivyo Basi.
msaidie kifedha hata Kama humtumii au huji kumtumia
msaidie kima wazo hata Kama huna mpango Wala ndoto nae
tafta mda wa kuzungumza nae ili angalau usikilize shida zake au changa Moto zake badara ya kujiangalia wewe binafsi tu
Nina Imani utajifunza mengi utaheshimu kila mwanamke aliyepo mbele yako
Maisha nifumbo/kesho nifumbo
Mwisho
Kabla huja changia kaa na mabinti tofauti tofauti wanaopatikana mazingira Kama hayo hapo juu uwaulize ilikuwaje wakafika walipo?
Nina Imani utakuja na mazito hapa.
ndy ww ambaye ukiwa job demu wako anatubless wahauni wake wa zamani kiroho safiMi na kazi ya serikali nilioa bar maid na Nina Raha sana
Ushaambiwa mwanamke bora anatoka kwa mungu sasa wewe jichanganye🤣🤣🤣Baada ya vilio vingi kuhusu mabinti zetu kuwatenda vibaya vijana wetu