pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Mazingira ya kazi yanawaharibuBar maid ni mabinti Kama mabinti wengine tofauti ni Hilo jina bar maid tu mkuu wangu
Hebu fikiria binti wa miaka 18 kila siku anakunywa pombe, analala saa 8, ananyanyasika na wateja wakilewa ambao ni wanaume, bosi wake (meneja). Mshahara usiokidhi mahitaji yake hadi anajiingiza kwenye ukahaba, analala geto. Hadi afikishe miaka 28 atakuwa ametembea na wanaume 3,000+