Kwa sasa, huenda hawa wakawa ndio Wanawake bora wa kuoa

Kwa sasa, huenda hawa wakawa ndio Wanawake bora wa kuoa

Nashukuru mjukuu. Mie siku zote napingana na sera zozote jumuishi. Hauwezi kusema kabila fulsni wako hivi, kundi hili wako vile, wake bora wanapatikana mahali flani, au Wana sifa za aina hii.

Kwanza, binadamu yoyote anabadilika Kwa kadri ya mambo anayokutana nayo na kukabiliana nayo kwenye safari yake ya maisha ( mfano wewe najua fika zamani haukua na mambo ya dog kasoro mkia).

Hivyo, mhudumu wa bar ukimuweka ndani, hakuna guarantee kwamba atakuwa Mke Bora, anaweza kukutoa kipara na mvinza kope vilevile.

Umnyanyase na kumzingua abaki na utiifu kisa ulimtoa bar?

Acha nikatafute urojo forodhani kwanza mjukuu.
Na mimi nataka huo urojo

Humu kuna wanaume wenye makelele sana na huwezi kuta nafokeana na mtu kama wewe nk, ila wale vichwa panzi lazima tuwakumbushe kidogo ili wakae kwenye mstari waache kuleta sheria na masharti humu sio kwao
 
Na mimi nataka huo urojo

Humu kuna wanaume wenye makelele sana na huwezi kuta nafokeana na mtu kama wewe nk, ila wale vichwa panzi lazima tuwakumbushe kidogo ili wakae kwenye mstari waache kuleta sheria na masharti humu sio kwao

Na uzee huu kunifokea utanionea tu. Ntakua nimekufanya nini hadi tufokeane?

Kuna ka Gen Z kanaitwa binti kiziwi ndio kananifanyia vurugu bila kujali umri wangu.

Urojo utauweza weye? Unawekwa ukali, mishkaki, source vichips, viazi mbatata, pilipili...orodha ni ndefu kwakweli.
 
Jamaa yangu moja kuna demu alikuwa naye anafanya kazi hotelini kila akisafiri kwenda huo Mkoa alikuwa analala hiyo hotel anajupigia huyo demu.Mwaka jana ameoa kabisa-hakutaka mambo mengi.
 
Wahudumu wa Bar wanaolewa sana,hasa kule Mkoa wa Njombe kuna e nawajua wameolewa.
Pia nina jamaa ninamfahamu alioa mhudumu wa Bar sasa hivi wana watoto 5.
 
Back
Top Bottom