binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Nitakutumia hiyo video ya yule baba anasema nani anasema mimi si Gen Z, mmenizaa? mna kadi yangu ya clinic?Na uzee huu kunifokea utanionea tu. Ntakua nimekufanya nini hadi tufokeane?
Kuna ka Gen Z kanaitwa binti kiziwi ndio kananifanyia vurugu bila kujali umri wangu.
Urojo utauweza weye? Unawekwa ukali, mishkaki, source vichips, viazi mbatata, pilipili...orodha ni ndefu kwakweli.
Nilicheka kinoma!