Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Unamlea binti yako vizuuuuri, halafu anakutana na furushi moja amazing 😜😜😜In most cases utapata mke mzuri akiwa amelelewa vizuri. Amefundishwa thamani yake na thamani ya wengine, aliyelelewa kwa upendo, akawa na upendo ataweza kutoa upendo, mtu hawezi kutoa ambacho hana, hii formula mbona rahisi?
Ukipata aliyelelewa kwa huruma, akawa na huruma atatoa huruma, atakuwa anakuhurumia mumewe, vivo hivyo kwa tabia zingine kama msamaha, heshima, kujitoa etc! and vice versa is true!
Mnaoverlook sana mambo mtalia kila siku!