Kwa sasa, huenda hawa wakawa ndio Wanawake bora wa kuoa

Kwa sasa, huenda hawa wakawa ndio Wanawake bora wa kuoa

Kuweni na imani na Wazee 🤗

Tatizo Vijana Hamtaki kututumia Wazee wenu vizuri, sisi kutokana na uzoefu na umri tulionao, tunaweza kuangalia mke mtarajiwa tukasema pale yaliyomo yamo ama hakuna 😜
Eb mwangilie Atoto kama anafaaa, hv mfano zamani ukiletewa mwanamke hakudharau kwamba ulishindwa kusaka mwenyewe mpaka uletewe? Unaanzaje kugenerate hisia za kumpenda? Sasa mzee Kwa mara ya kwanza unaiombaje na wakati umeletewa😂
 
Hisia za Mapenzi huamshwa na vitu vidogo dogo mfano kula pamoja

Lakini watu mkishakaa pamoja Kwa muda mrefu mnazoeana na hapo ndipo upendo huzidi kuota mizizi
 
Kwahiyo umesadiki maneno ya Binti kiziwi? Unaniruhusu niweke NIDA hapa mjukuu? Hao wote umewataja hatuachani umri Kwa mbali, amekosekana Watu8 swahiba wangu. Umri umesogea sema tumeamua kukubali matokeo kwamba wakati umetutupa.

Mimi nakazia tu mkongwe...@Kapeace sisi muda si mrefu tunakuwa senior citizens, ila tunashukuru Mungu tu wengine katuumba na udongo mzuri
 
Mimi nakazia tu mkongwe...@Kapeace sisi muda si mrefu tunakuwa senior citizens, ila tunashukuru Mungu tu wengine katuumba na udongo mzuri

Bora umesema wewe Mzee mwenzangu.

Naomba utoe neno kidogo Kwa vijana wanaosaka wenza wa kuishi nao kama wake. Naona mijadala inazidi kuhusu hii tasnia. Vijana wakiume wakionekana kujawa na hofu, kukata tamaa na kutafuta namna ya kujifariji. Wape neno mkongwe.
 
Back
Top Bottom