Kwa sasa imani, matumaini na mapendo ya watanzania wengi ni CCM pekee

Kwa sasa imani, matumaini na mapendo ya watanzania wengi ni CCM pekee

Mkuu huu mjadala utasemaje napiga kelele tena!?
Una uhakika kama tume ya uchaguzi imeundwa na wananchi au CCM?
Usiseme mimi na wachache sema asilimia kubwa ya raia.
Hao raia wana ngao ipi ya wao kuweza kuitumia ili kuonesha ukweli!?
Halafu wakishaonesha ukweli mamlaka ipi itaufanyia kazi huo ukweli!?
Kama Tundulissu tu aliongea machache na kupigwa risasi raia wa kawaida wana sehemu ipi ya kuuonesha huo ukweli!?
Nasisitiza badilini katiba,wekeni mahakama huru na tume huru ya uchaguzi kesha mtaona.
bado unarudi palepale.....

uhakika unaniuliza mimi tena? uliza wananchi walio wengi walioichagua ccm na kuunda serikali inayowaongoza....

hakuna kitu kitabadilishwa kwa natakwa yako au sijui kwa matakwa ya fulani amabae siju alifanya nini. hakuna kitu kama hicho.....

mambo yatabadilika kuliangana na maoni na matakwa ya waTanzania wote ambao wengi wao ndio wameshika dola, wameunda na kuongoza nchi, tofauti na hapo ni haki ya wachache kuskizwa tu na si vinginevyo.....

uoga wako ndio umaskini wako,
imani, upendo na matumaini ya waTanzania walio wengi ni kwa ccm na serikali yake sikivu :BASED:
 
Sasa kwanini miaka 60 ya uhuru bado kuna shule hazina matundu ya vyoo?

Miaka 60 ya uhuru bado tunaomba misaada ya kujenga vyoo?

VIpi bei ya dola?
katika safari ya kuongoza , dosari, kasoro na changamoto ni mambo ambanayo ni yakawaida kabisa..... yakibainika yanashughulikiwa na tuna songa mbele....

lakini pia kupanda na kushuka kwa bei ya dola si geni, na ni jambo la kawaida kulingana na mabadiliko ya bei za masoko na bidhaa za kibiashara mabalimbali kwenye masoko mbalimbali dunianai.....

Ndiyo, inaweza kua changamoja kwa upande moja, ile muhimu zaidi ni kwamba wizara na idara za kisekta zianahangaika nalo na kuhakikisha upatikanaji unakua wa uhakuka zaidi.....:spandauB:
 
Huwezi kutatua tatizo kwa kutegemea watu wale wale waliosababisha tatizo.
matatizo hayawezi kwisha daima,
chama na serikali ya ccm itaendelea kupamabana kuhakikisha wananchi wananufaika vya kutosha kulingaba na mopango na jitihada za serikali sikivu ya ccm chini ya Dr.SAMIA SULUHU HASSAN :BASED:
 
bado unarudi palepale.....

uhakika unaniuliza mimi tena? uliza wananchi walio wengi walioichagua ccm na kuunda serikali inayowaongoza....

hakuna kitu kitabadilishwa kwa natakwa yako au sijui kwa matakwa ya fulani amabae siju alifanya nini. hakuna kitu kama hicho.....

mambo yatabadilika kuliangana na maoni na matakwa ya waTanzania wote ambao wengi wao ndio wameshika dola, wameunda na kuongoza nchi, tofauti na hapo ni haki ya wachache kuskizwa tu na si vinginevyo.....

uoga wako ndio umaskini wako,
imani, upendo na matumaini ya waTanzania walio wengi ni kwa ccm na serikali yake sikivu :BASED:
Mkuu unaleta sarakasi tu hapa.
Usidanganye hii CCM haijachaguliwa na raia wengi bali na wachumia tumbo.
Badilisheni katiba,wekeni mamlaka huru ya mahakama na wekeni tume huru ya uchaguzi.
Endelea kupiga siasa za UCHUMIA TUMBO.
 
hakuna kubabaika na anaezira, anae shinikiza, anaegoma au kususa jambo lolote humu nchini...

mambo yote yanafanyika kwa matakwa ya waTanzania wote sio maoni, mtazamo au matakwa ya fulani na kakikundi kake.....

we geuka jibaraguze uwezavyo, hakuna sarakasi wala muujiza, but at the end ni mwananchi ndio wa kusema na kuamua hiki kiwe vile au hivi :whatBlink:
 
Narudia tena huku nikisisitiza BADILISHENI KATIBA,IPENI NGUVU MAHAKAMA NA WEKENI TUME HURU YA UCHAGUZI.
Kama CCM ingekua chama imara TANZANIA ISINGEKUA NCHI YA 34 YENYE UMASIKINI KOMAVU DUNIANI.
 
Kuona mipango mpka wanafanya kitendo wao wanakuwa wapi?
mipango ya kikundi unaweza kubaini,
lakini mtu binafsi si rahisi,

kama ambavyo ulivyo wew kwenye avatar yako na jina, ukitizama hivi unaona ni mtu mwema na wa maana sana, but through contents unaanza kupata picha ya uelekeo ulivyo but ukinyamaza kimya hakika ni mtu muhimu mno🐒

wahalifu wengi hukaa kimya na mipango yoa 🐒
 
Mtu hawezi kufanya tukio lolote ovu akiwa mwenyewe, lazima kuwe na kikundi + wateja
 
Ndoto, matarajio na matamanio ya Watanzania wengi wa makundi mbalimbali kwa sasa ni katika Chama Imara Sana cha Mapinduzi (CCM).

Hii ni kutokana na mipango na mikakati yake katika kuwaongoza, kuwatumikia na kuwaletea Watanzania wote maendeleo.

Nchi imefunguka vizuri, biashara imefunguka, kilimo, ufugaji, uvuvi, usafirishaji na miundombinu vimeboreshwa na vimeimarika sana. Upatikanaji wa huduma muhimu kama vile maji, umeme, na afya ni vya uhakika maeneo mengi nchini.

Serikali madhubuti ya CCM inasema na kutenda.

Mambo yanayoendelea ndani ya vyama vingine vya kisiasa nchini, ni aibu na hali ya kukatisha tamaa kabisa.

Hawana hoja tena za kuikosoa au kushauri serikali, hawaeleweki hata wanacholalamikia, hawaelewani wao kwa wao, hawaaminiani wao kwa wao, n.k.

Cha maana zaidi kwao kwa sasa ni kwamba wanajitambulisha vizuri sana kwa migawanyiko baina yao, malumbano na mipasho isiyo na tija kabisa.

Ama kwa hakika, imani na matumaini ya Watanzania yamebaki kwa CCM na serikali sikivu yake, chini ya kiongozi mahiri sana, kipenzi cha Watanzania comrade, Rais Dr. Samia Suluhu Hassan. 🐒
CCM (Tanu) imetawala tangu uhuru na matatizo ya wananchi yanaendelea kila kukicha. Sasa tuambie matarajio ya wananchi yatakuwaje kwa ccm? Acha uchawa, jenga hoja za msingi kushawishi wananchi waliokata tamaa kendelea kuiamini ccm, badala ya kutegemea dola kuiba kura.
 
Kuna humu hatuna vyama tangu nchi ipate uhuru.siyo wanaccm wala wanacdm ila kwa mambo yanayofanywa na ccm kama kitapatikana chama kilichosimama vzr mm kwa mara ya nitaungana nacho.natamani sana dk alama akipata watu makini wakaunda chama nina imani CCM itapoteza sana.shida hivi vyama hivi vilivyopo bado vina matatizo ya kimfumo
 
baki na maoni, hisia, mtazamo na visingizio vya kuibiwa kura kila baada ya kushundwa vibaya na kukataliwa na wananchi kwebye sanduku la kura, ili tena unyoroshwe vizuri sana serikali za mitaa baadae mwaka huu :BASED:

mipango, mikakati na uongozi makini na madhubuti wa serikali sikivu ya ccm, chini ya Rais hodari sana, comrade Dr.Samia Suluhu Hassan, ndio hoja mahusus na habari ya mjini na vijijini kwa sasa na inayochochea imani, matumaini na mapendo ya waTabazania kwa CCM:BASED:
 
Kuna humu hatuna vyama tangu nchi ipate uhuru.siyo wanaccm wala wanacdm ila kwa mambo yanayofanywa na ccm kama kitapatikana chama kilichosimama vzr mm kwa mara ya nitaungana nacho.natamani sana dk alama akipata watu makini wakaunda chama nina imani CCM itapoteza sana.shida hivi vyama hivi vilivyopo bado vina matatizo ya kimfumo
acha visingizio duni vya sijui eti mfumo n.k,

mfumo unautengeneza wewe mwenyewe na chama chako, ambao ndio ukiunadi pamoja na sera, mipango na mikakati yako kwa wananchi, na wakakubali ndio utakaotumia kuunda na kuongoza serikali......

unasingizia mfumo wa chama kingine cha siasa kweli dah:pedroP:
amabacho na chenyewe kina hitaji kuunda na kuongoza serikali kwa mfumo wake......

lazima uwe na akili na utashi wa kubuni mambo kama hayo, kuliko kisingizia kitu ambacho kinaonyesha tu huna, ubunifu, ushawishi wala uwezo na umekata tamaa kabisa....:BASED:
 
Back
Top Bottom