Kwa sasa imani, matumaini na mapendo ya watanzania wengi ni CCM pekee

Kwa sasa imani, matumaini na mapendo ya watanzania wengi ni CCM pekee

Kes
Ndoto, matarajio na matamanio ya Watanzania wengi wa makundi mbalimbali kwa sasa ni katika Chama Imara Sana cha Mapinduzi (CCM).

Hii ni kutokana na mipango na mikakati yake katika kuwaongoza, kuwatumikia na kuwaletea Watanzania wote maendeleo.

Nchi imefunguka vizuri, biashara imefunguka, kilimo, ufugaji, uvuvi, usafirishaji na miundombinu vimeboreshwa na vimeimarika sana. Upatikanaji wa huduma muhimu kama vile maji, umeme, na afya ni vya uhakika maeneo mengi nchini.

Serikali madhubuti ya CCM inasema na kutenda.

Mambo yanayoendelea ndani ya vyama vingine vya kisiasa nchini, ni aibu na hali ya kukatisha tamaa kabisa.

Hawana hoja tena za kuikosoa au kushauri serikali, hawaeleweki hata wanacholalamikia, hawaelewani wao kwa wao, hawaaminiani wao kwa wao, n.k.

Cha maana zaidi kwao kwa sasa ni kwamba wanajitambulisha vizuri sana kwa migawanyiko baina yao, malumbano na mipasho isiyo na tija kabisa.

Ama kwa hakika, imani na matumaini ya Watanzania yamebaki kwa CCM na serikali sikivu yake, chini ya kiongozi mahiri sana, kipenzi cha Watanzania comrade, Rais Dr. Samia Suluhu Hassan.

zingekua mbaya sera za CCM, waTanzania wasingekua na matumaini nayo 🐒

ama chama gani kina sera nzuri na ziko wap zaidi ya CCM 🐒
Sema wewe una matumaini nayo siyo waTanzani.
 
Mmeanza kuwashawishi waTanzania wakope mkopo wa riba 7%. Mnaleta umasikini kisha eti mnautatua Kwa mikopo. Kwa kweli mmetufanya hatujielewi! Baada ya uchaguzi mnaota mbawa. Tunaanza kuwaita waheshimiwa, kinyume Cha Mheshimiwa ni MDHARAULIWA! Ndo sisi. Kuna mtu moja alisikika akisema hawezi kwenda Hija mpaka aache siasa. Nikajiuliza kwani waTanzania wanatufanyia nn mpaka wanamuogopa Mungu? Hv siasa ni dhambi?
 
sauti ya wengi ni sauti ya Mungu,

uongozi na mamlaka za nchi duniani zimetoka kwa Mungu...

Ni kwa Neema na Baraka za Mungu Tanzania chini ya Serikali ya CCM inawaongoza watu wake kwa usawa, haki, umoja na Amani...

siasa ni maisha, haiepukiki maishani...
siasa ipo kwenye familia, shuleni kwenye majumba ya ibada na maeneo mbalimbali yenye mikusanyiko ya makundi mbalimbali....

haiwezekani ukaendelea bila kukopa na kufanya bidii katika kazi

Itategemea tafsiri yako binafsi kuelewa nini maana ya siasa 🐒
 
kama haijawahi kua nzuri kwako, hiyo ni shida yako binafsi, yafaa udeal nayo kibinafsi, lakini sio uje hapa useme ati wananchi hawajishughulishi na siasa kiundani, huo ni upotoshaji wa waz kabisa.....

Ingekua ni hivyo CCM ingepata wap ushindi wa kishindo? na kama ingekua inarudia makosa haijisahihish nani angeichagua katika kila uchaguzi?

wanaorudia makosa ni wale wanao susisa, wanaozira, wanaogomea chaguzi na kubeba fikra akilini na mioyoni mwao kwamba wanaibiwa kura kumbe hawaeleweki na hawakubaliki na wananchi ....

amani na utulivu wa waTanzania ni matokeo ya jitihada na uwekezaji mkubwa unaofanywa na serikali ya ccm kuhakikisha ulinzi na usalama wa watu, mali na waTanzania wote ni kipaumbele namba moja cha nchi, na kwamba shughuli za siasa, biashara, kilimo n.k zinafanyika kwa uhuru, haki usawa na kwa amani:DisGonBGud:
Mkuu unanifanya natabassam sana na hizi kauli zako.
Katika kitu chochote lazima kuwe na pande mbili.
Hata Aldolph Hitler wapo waliompenda na wapo waliomchukia.
Tanzania ni nchi inayoenda kimaslahi,wanaoitetea CCM ni wale wenye maslahi nayo.
Na mbaya zaidi maslahi huwalenga wachache yani ni ya mnufaiko wa wachache sio ya mnufaiko wa wengi.
Maana ya mimi kusema raia hawajishuhulishi ama hawajikiti na siasa ni mbili;
1)Yeyote yanayotokea hawapazi sauti hata kidogo.
2)Wanaoitetea CCM wanafuata ulaji(wachumia tumbo).
Kwa namna kama hiyo lazima mtu uisifie CCM kama wewe ni sehemu ya ulaji.
Mathalan wafanyakazi wa umma,wanafurahi mishahara imeongezwa,ila ukitizama mishahara imeongezwa kwa uchumi upi?
Pesa za mikopo ndio zimeongeza mishahara,ila ukimwambia huyo mtumishi kuwa kukopa kwaajili ya kulipa watumishi ni unproductive kiuchumi yeye atakujibu cha muhimu mkono unaenda kinywani na nitamsapoti anayefanya hivyo.
Unatarajia usipate wafuasi kwa namna hii!?
Kama Tanzania raia wake wangekua wako serious na siasa HILI TAIFA LINGESHAKUA NA VITA ZA KIRAIA MUDA MREFU SANA.
Sikumbuki CCM kushinda kwa haki.
Mfano mwaka 2020 uchaguzi unajieleza mkuu.
 
Majangili yote hujifanya yanafadhili chama
 
Uko kwenye system lazima usifie ama unataka uteuzi..

Hicho chama kimesha fail.
Hakuna mtu anakitaka labda wewe na familia yako. Piga porojo humu muda uende...mana pa kula si unapo
 
Mleta hoja ni kati ya haya;
Una matatizo ya akili yanayohitaji matibabu ya haraka AU
Una asili ya kutokuwa na uwezo wa kufiki vyema AU
Elimu yako ni DUNI mno mno
Bora ungekaa kimya kuficha ujinga
 
Mleta hoja ni kati ya haya;
Una matatizo ya akili yanayohitaji matibabu ya haraka AU
Una asili ya kutokuwa na uwezo wa kufiki vyema AU
Elimu yako ni DUNI mno mno
Bora ungekaa kimya kuficha ujinga
unaweza kusema vyovyote uwezavyo tena bola mihemko wala kebeli, ni uhuru na haki yako kutoa maoni, ni lazima uinjoy bana matunda ya serikali ya ccm,

lakini ukweli ni muhimu sana ukabaki kama ulivyo, na zaidi sana ukaheshimiwa na kusisitizwa kwamba waTanzania walio wengi katika umoja wao wana imani na matumaini makubwa sana na CCM :BillyApprove:
 
unawajuaje au unawatambuaje akati wanag'ara kama pamba, muulize msigwa au dr.slaa :pedroP:
Wanajuana kwasababu wanalishana na kulindana kwaajili ya maslahi yao binafsi.
Kama tungeweka system ya kushtaki viongozi wastaafu kama ilivyo USA kuna kiongozi wa CCM ngazi ya Central Government angepona!?
Tukianza na marais wenyewe hakuna ambaye angepona.
 
sasa kwanini asubiriwe hadi astaafu kama anajulikana? ukisubiri asataafu maana yake hukua unajua chochote dhidi yake....

na kama wanalindana na nyie watakatifu si mlindane kukabiliana nao.....

marekani kuna nini cha ajabu au cha maana kuiga? :whatBlink:
 
Back
Top Bottom