Ndoto, matarajio na matamanio ya waTanzania wengi wa makundi mbalimbali kwa sasa ni katika Chama Imara Sana cha Mapinduzi CCM..
Hii ni kutokana na mipango na kimkakati yake katika kuwaongoza, kuwatumikia na kuwaletea waTanzania wote maendeleo...
Nchi imefunguka vizuri,
Biashara imefunguka, kilimo, ufugaji, uvuvi, usafirishaji na miundombinu vimeboreshwa na vimeimarika sana. Upstikanaji wa huduma muhimu kama vile maji, umeme, afya ni vya uhakika maeneo mengi nchini..
Serikali madhubiti ya CCM inasema na kutenda...
Mambo yanayoendelea ndani ya vyama vingine vya kisiasa nchini, ni aibu na hali ya kukatisha tamaa kabisa.....
Hawana hoja za tena za kuikosoa au kushauri serikali, hawaeleweki hata wanacholalamikia, hawaelewani wao kwa wao, hawaaminia wawo kwa woa n.k
Cha maana zaidi kwao kwa sasa ni, wanajijitambulisha vizuri sana kwa migawanyiko baina yao, malumbano na mipasho isiyo na tija kabisa.
Ama kwa hakika imani na matumaini ya waTanzania yamebaki kwa CCM na Serikali sikivu yake, chini ya kiongozi mahiri sana, kipenzi cha waTanzania comrade, Rais Dr.Samia Suluhu Hassan 🐒