Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Sasa kwanini miaka 60 ya uhuru bado kuna shule hazina matundu ya vyoo?among powerful, focused, committed and very strong institutions in the world ๐
bado unarudi palepale.....Mkuu huu mjadala utasemaje napiga kelele tena!?
Una uhakika kama tume ya uchaguzi imeundwa na wananchi au CCM?
Usiseme mimi na wachache sema asilimia kubwa ya raia.
Hao raia wana ngao ipi ya wao kuweza kuitumia ili kuonesha ukweli!?
Halafu wakishaonesha ukweli mamlaka ipi itaufanyia kazi huo ukweli!?
Kama Tundulissu tu aliongea machache na kupigwa risasi raia wa kawaida wana sehemu ipi ya kuuonesha huo ukweli!?
Nasisitiza badilini katiba,wekeni mahakama huru na tume huru ya uchaguzi kesha mtaona.
katika safari ya kuongoza , dosari, kasoro na changamoto ni mambo ambanayo ni yakawaida kabisa..... yakibainika yanashughulikiwa na tuna songa mbele....Sasa kwanini miaka 60 ya uhuru bado kuna shule hazina matundu ya vyoo?
Miaka 60 ya uhuru bado tunaomba misaada ya kujenga vyoo?
VIpi bei ya dola?
matatizo hayawezi kwisha daima,Huwezi kutatua tatizo kwa kutegemea watu wale wale waliosababisha tatizo.
Mkuu unaleta sarakasi tu hapa.bado unarudi palepale.....
uhakika unaniuliza mimi tena? uliza wananchi walio wengi walioichagua ccm na kuunda serikali inayowaongoza....
hakuna kitu kitabadilishwa kwa natakwa yako au sijui kwa matakwa ya fulani amabae siju alifanya nini. hakuna kitu kama hicho.....
mambo yatabadilika kuliangana na maoni na matakwa ya waTanzania wote ambao wengi wao ndio wameshika dola, wameunda na kuongoza nchi, tofauti na hapo ni haki ya wachache kuskizwa tu na si vinginevyo.....
uoga wako ndio umaskini wako,
imani, upendo na matumaini ya waTanzania walio wengi ni kwa ccm na serikali yake sikivu
hakuna kubabaika na anaezira, anae shinikiza, anaegoma au kususa jambo lolote humu nchini...Mkuu unaleta sarakasi tu hapa.
Usidanganye hii CCM haijachaguliwa na raia wengi bali na wachumia tumbo.
Badilisheni katiba,wekeni mamlaka huru ya mahakama na wekeni tume huru ya uchaguzi.
Endelea kupiga siasa za UCHUMIA TUMBO.
Narudia tena huku nikisisitiza BADILISHENI KATIBA,IPENI NGUVU MAHAKAMA NA WEKENI TUME HURU YA UCHAGUZI.hakuna kubabaika na anaezira, anae shinikiza, anaegoma au kususa jambo lolote humu nchini...
mambo yote yanafanyika kwa matakwa ya waTanzania wote sio maoni, mtazamo au matakwa ya fulani na kakikundi kake.....
we geuka jibaraguze uwezavyo, hakuna sarakasi wala muujiza, but at the end ni mwananchi ndio wa kusema na kuamua hiki kiwe vile au hivi
Kuona mipango mpka wanafanya kitendo wao wanakuwa wapi?si rahisi kutambua kilichopo ndani ya moyo wa mtu, ulowataja ni binadamu pia
mipango ya kikundi unaweza kubaini,Kuona mipango mpka wanafanya kitendo wao wanakuwa wapi?
Mtu hawezi kufanya tukio lolote ovu akiwa mwenyewe, lazima kuwe na kikundi + watejamipango ya kikundi unaweza kubaini,
lakini mtu binafsi si rahisi,
kama ambavyo ulivyo wew kwenye avatar yako na jina, ukitizama hivi unaona ni mtu mwema na wa maana sana, but through contents unaanza kupata picha ya uelekeo ulivyo but ukinyamaza kimya hakika ni mtu muhimu mno๐
wahalifu wengi hukaa kimya na mipango yoa ๐
CCM (Tanu) imetawala tangu uhuru na matatizo ya wananchi yanaendelea kila kukicha. Sasa tuambie matarajio ya wananchi yatakuwaje kwa ccm? Acha uchawa, jenga hoja za msingi kushawishi wananchi waliokata tamaa kendelea kuiamini ccm, badala ya kutegemea dola kuiba kura.Ndoto, matarajio na matamanio ya Watanzania wengi wa makundi mbalimbali kwa sasa ni katika Chama Imara Sana cha Mapinduzi (CCM).
Hii ni kutokana na mipango na mikakati yake katika kuwaongoza, kuwatumikia na kuwaletea Watanzania wote maendeleo.
Nchi imefunguka vizuri, biashara imefunguka, kilimo, ufugaji, uvuvi, usafirishaji na miundombinu vimeboreshwa na vimeimarika sana. Upatikanaji wa huduma muhimu kama vile maji, umeme, na afya ni vya uhakika maeneo mengi nchini.
Serikali madhubuti ya CCM inasema na kutenda.
Mambo yanayoendelea ndani ya vyama vingine vya kisiasa nchini, ni aibu na hali ya kukatisha tamaa kabisa.
Hawana hoja tena za kuikosoa au kushauri serikali, hawaeleweki hata wanacholalamikia, hawaelewani wao kwa wao, hawaaminiani wao kwa wao, n.k.
Cha maana zaidi kwao kwa sasa ni kwamba wanajitambulisha vizuri sana kwa migawanyiko baina yao, malumbano na mipasho isiyo na tija kabisa.
Ama kwa hakika, imani na matumaini ya Watanzania yamebaki kwa CCM na serikali sikivu yake, chini ya kiongozi mahiri sana, kipenzi cha Watanzania comrade, Rais Dr. Samia Suluhu Hassan. ๐
baki na maoni, hisia, mtazamo na visingizio vya kuibiwa kura kila baada ya kushundwa vibaya na kukataliwa na wananchi kwebye sanduku la kura, ili tena unyoroshwe vizuri sana serikali za mitaa baadae mwaka huuCCM (Tanu) imetawala tangu uhuru na matatizo ya wananchi yanaendelea kila kukicha. Sasa tuambie matarajio ya wananchi yatakuwaje kwa ccm? Acha uchawa, jenga hoja za msingi kushawishi wananchi waliokata tamaa kendelea kuiamini ccm, badala ya kutegemea dola kuiba kura.
acha visingizio duni vya sijui eti mfumo n.k,Kuna humu hatuna vyama tangu nchi ipate uhuru.siyo wanaccm wala wanacdm ila kwa mambo yanayofanywa na ccm kama kitapatikana chama kilichosimama vzr mm kwa mara ya nitaungana nacho.natamani sana dk alama akipata watu makini wakaunda chama nina imani CCM itapoteza sana.shida hivi vyama hivi vilivyopo bado vina matatizo ya kimfumo