Marvelous!! Una akili sana wewe! Hao wanaohoji wabaki hivyo hivyo! Tatizo wakiteuliwa wanakuwa Sio mabubu tu Bali vipofu na hata viziwi. Kisa eti kulinda Ajira! Wanakuwa WANAIGIZA kujifanya Vipofu yaani Hawaoni, Viziwi yaani Hawatasikia na pia Mabubu hawatasema.
Kwa Sasa nawapa HEKO zao akina Kp na "mwanasheria" wake Siza na Kwa Ujumla Team nzima ya Clouds fm na Itv katika vipindi vyao vya kuhoji, KEEP IT UP!! [emoji123]