ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marvelous!! Una akili sana wewe! Hao wanaohoji wabaki hivyo hivyo! Tatizo wakiteuliwa wanakuwa Sio mabubu tu Bali vipofu na hata viziwi. Kisa eti kulinda Ajira! Wanakuwa WANAIGIZA kujifanya Vipofu yaani Hawaoni, Viziwi yaani Hawatasikia na pia Mabubu hawatasema.Watanzania wote ni wale wale wakishateuliwa wanaunga mkono hoja. Ni afadhali watu wanaohoji waendelee kubaki huku ili waendelee kuhoji
Unauliza frequency za Clouds fm kwa Dodoma ama?!Dodoma ni FM gani? Huwasikiki
Sahihi kabisa... Tatizo huku Mpanda Clouds hawapatikani tena sijui kuna shida gani, mpaka utumie redio ya kwenye TV...Ni kweli kabisa mi huwa nasikiliza redio vipindi vya asubui lakini huwa nikitaka vitu vya msingi najua nitavipata power breakfast..
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app